Leonileo8809
Member
- Dec 23, 2012
- 18
- 2
No facts! No idea!...........................................No comment!
Ni bora kulisha mbuzi utamla nyama.Jamaa amepata rafiki wa kumkarimu xmass kwa chakula na kinywaji ameshiba badala ya kushukuru ameanza kukosoa.Akirudi kwao ataenda kusema mwenyeji wake alilala chumbani na mke wake yeye wakamwacha alale mwenyewe.
Nafikiri ni mojawapo ya ahadi alizotuahidi