Recent content by leonard gaka

  1. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Edbir jonas lunyamila a.k.a fundi wa magoli Fred mbuna Olimboka mwaikingwe Ally mayai tembele moja Mrisho khalfani ngasa uncle
  2. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Hip hop

    Wadau kuna mtu ana nyimbo ya chindo man story ya nyokaa aniasaidie
  3. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Clouds Media group: Chances never come twice au tragedy come in thrice

    Aaaah, hili movie tamu na kwanza season ya pili episode ya 4 mi nahis sterling Gwajima.
  4. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Na bingwa simba vs yanga sports club

    Yanga bingwa!!
  5. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Machinga waondoshwa kwa nguvu Mwanza mjini eneo la Makoroboi

    Aaah, walete hili muvi sterling anafia kwenye maua
  6. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    Mbona fair tu ni mwana habar kama wana habar wengne anatupa updates za kutosha tu jukumu ni la we unaepata habar unaichambua vp, mana habar nyingi kutoka kwake huwa ni za ukwel.
  7. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Manji kuwasili polisi nje ya utaratibu ni ukaidi; ajiandae kulala sero

    Wewe manji nayeye ni mtanzania kama ulivyo wewe naye anahaki ya kuhoji kama watanzania wengine
  8. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania WanaJF waishio Mwanza tufahamiane

    Mi npo hapa town sahara
  9. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    1.Fid Q 2.Chindo Man 3.Nikki Mbishi 4.Nash mc 5.Wakaz
  10. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania CUBA: Mwanasiasa na Mwanamapinduzi, Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90

    Dah ni moja kati ya msiba ilionistua siku ya leo;Pumzika kwa aman kamanda FIDEL CASTRO msalimie mandela,nyerere,Gadaffih,cheguevala na uncle Adolph Hitler na Benito Musolin.
  11. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Jinsi kichwa cha habari cha gazeti moja wapo toka Kenya kinavyo someka.

    Aaah!! Wakenya bana hataree
  12. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeshindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma, fungeni hivi vyuo

    Hii ndio serikali ya hapa kazi tu, serikali ya viwanda.
  13. leonard gaka

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Jaman mwanza tunanawa nyuso zetu ni mabomu tuu yanalindima jij zima kuna askar hao wameshikilia virungu hvoo yan ni shida tupu
Back
Top Bottom