Recent content by LEO

  1. L

    JamiiForums Tanzania DC Humphrey Polepole ajutia uongozi wa awamu hii

    Haya ndy matokeo ya usaliti.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Kifo cha Nelson Mandela. Kilikusanya karibu viongozi wote wakubwa Duniani
  3. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    HIZI NI PROPAGANDA ZA MAGAMBA(Mfa maji haishi.....)
  4. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Video yenu sauti haisikiki,yaonyesha kuna walakini na habari yenyewe kama inavyosema (Hizi ni PROPAGANDA) Acheni kuwahadaa watu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa Ruge kwa mbunge Sugu wadhihirika

    Kila lenye mwanzo lina mwisho wake. RUGE you can fool some people sometimes,but you can't fool all the people all the time. Wakati sasa umewadia,watu wamezinduka.
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Kupishana umri kiasi hicho si mbaya sana,kwanza yeye ni mtu mzima na wewe pia. La msingi kinachotakiwa uwe fiti kila wakati ili uweze kwenda naye sambamba katika maisha yenu. Kwangu mimi naona upo sahihi,haujakosea kitu,kwani kuna watu wengine wamepisha zaidi ya miaka 30,sembuse wewe na huyo...
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo, mchumba wangu kafumaniwa na wazazi wake kwa jamaa!

    Huo uchumba unaosema wewe ni kwamba mmeambiana wenyewe wawili na haufahamiki kwa wengine. UCHUMBA RASMI ni lazima ukajitambulishe kwa wazazi wake na wakutambue na ndipo ulipie MAHALI. Kitendo cha wewe kutojitambulisha kwa wazazi na huku mmepanga Kuoana siku zijazo ni kosa. Kwa hiyo hapo ndugu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Gurumo

    Nakupongeza kwa kufanya utafiti wa kutaka kuujua ukweli kuhusu GURUMO.
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nani kuukwaa uwaziri mkuu?

    Ni kweli kwa nini JK aumie kichwa kwa ajili ya kumteua WAZIRI MKUU MPYA,Pinda yupo. Kitendo cha kuteua waziri mkuu mpya ni kuliingiza TAIFA katika hasara ya kuwahudumia Mawaziri wakuu wengi
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

    Haiingii akilini kusema huu sio muda wa mabadiliko ya kweli.Na huu siyo muda wa kupelekwa darasani au ushikwe mkono ulazimishwe kufanya mabadiliko ya kweli.TUWAMWAGE SISIEM
Back
Top Bottom