msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,840
- 6,148
Katika pitapita zangu kwenye Mitandao mbalimbali ya Jamii,Leo Nikaamua kuwa kuutembelea Mtandao Maarufu wa Twitter..
Nikashangazwa na Tweets za Mkuu wa wilaya mpya ya Ubungo Ndg.H.Polepole,Tangu Tar.23 akiwa kama analalamika kuhusu Kazi yake na ni kama kuna tatizo katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku..
Nisiongee sana Tweets zenyewe hizihapa:-
Nina imani na utendaji wa Ndg.Polepole Kwasababu ni 'mkweli' na anapenda kuweka wazi vitu anavyoamini 'haviko sawa' hivyo kama kuna tatizo nina imani ataweka wazi tu badala ya kuandika mafumbo.