Recent content by LEO MWITA

  1. L

    Slaa na maamuzi ya ubabe Kyela, akipewa nchi atafukuza wangapi?

    uongozi wa kyela ulikwisha ondolewa kabla ya dr.slaa.kilichotokea ni kuwaagiza viongozi wa kanda kuweka utaratibu wa kikatiba na kuna ukweli kwamba viongozi waliokuwepo kyela walikuwa na wamelalamikwa mara kadhaa huko nyuma hapa wasitafute visingizio tu na huruma ya wana jamvi ambao hawana...
  2. L

    CCM yashindwa kufanya mkutano Wilayani Serengeti

    watu wa Serengeti wana kumbuka kwamba adui nambas moja wa tembo ni kinana hivyo watu walikuwa busy kulinda tembo badala ya kwenda kumsikiliza wakati haja rudisha wale tembo aliowapakia kwenye meli.
  3. L

    Nape Na Kinana Tusiwatumie Watoto Wadogo Kisiasa

    hiyo ni greenguards wa cccm na hapo kinana na nape wana kagua gwaride la ukaka mavu baada ya mafunzo ya kijeshi.kumbuka ccm walipiga kelele chadema waliposema wanafundisha vijana wake.tafakari!
  4. L

    Kweli mh. Nyagwine anaweza kuifanya Tarime kuwa paradaise?

    nyambari ni mchonga diri sawa na wachonga madiri yalivyo kwa maccm.nyambari hana hoja juu ya katiba mpya.ni tanganyika,serikali tatu na kupunguza madaraka.
  5. L

    Waliomzomea Nape na Kinana mbaroni

    kama kinana anafurahia kushangilia ni muhimu pia akubali kuzomewa.hakuna kosa kama unazomea bila kutukana naomba zomea zomea kwa ma ccm iendelee kwa kasi zaidi.
  6. L

    Kinana na miradi ya maendeleo

    Wana jamvi naomba tujadili kwa pamoja uhalali wa katibu mkuu wa CCM kukagua miradi ya maendeleo ambayo imetokana na michango ya wananchi. Leo Kinana alitaka kufungua shule ya sekondari moja Tarime Nyamongo lakini wananchi wamekataa na badala yake atafungua ofisi ya CCM kata ya Nyarero. Hii...
  7. L

    Mkutano wa Dk. Slaa Mbarali

    angalia waitara na dr slaa wakiwa kazini.
  8. L

    Mkutano wa Dk. Slaa Mbarali

    ustaadhi alikuwa mweka hazina wa chadema wilaya ya tarime.wakati mkt mbowe alipo tembelea tarime kufuatia na makundi ya heche na waitara ni miongoni mwa walioondolewa.ndg acha kuleta majungu kwa waitara. makao makuu,mikoa na watu wa tarime wanajua kwamba katika kazi waitara ni mwisho wa...
  9. L

    Ipo siku itafikia Balozi wa China hapa nchini akigombea ubunge wa jimbo hapa Tanzania

    naomba chadema wafanye haraka kumshitaki balozi wa china katika ummja wa taifa kwa sababu huyo balozi anafanya siasa na ccm badala ya kuwakilisha nchi yake.lazima aamue kama nia kazi ya ubalozi au ni katibu mwenezi wa ccm.ujinga wa nape hauna nafasi chadema fanya hima.
  10. L

    TANZIA: Katibu wa BAVICHA Kata ya Mjini Kati hapa Arusha afariki Dunia

    napenda kutoa pole sana kwa mhe.mkt wa mkoa wa arusha samson mwigamba kwa kupoteza mpiganaji wake huyo wa bawacha.mungu asiwapunguze wapiganaji bali tunatarajia mafisadi kufa zaidi kuliko makamanda.
  11. L

    Mwigulu Nchemba aagwa Iramba Magharibi

    mimi nachotaka kusikia ni kwamba kila mkumbo ni mbunge sina muda wa kujadili habari za kupika za mwigulu.
  12. L

    CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

    mgombea wa chadema ninani?
  13. L

    Kofia kama ya Mwigulu sasa kuvaliwa na Kigwangalla

    tatizo la watanzania si namna viongozi wanavyo vaa bali wizi wa rasilimali na maisha magumu kwao.hamis badala ya kumtibu baba yake ana hangaika na makofia!
  14. L

    Dr Slaa na njama ya kukwepa kodi

    huu nao ni udaku tu watu wasio makini.hivi kweli dr slaa hapaswi kuwa family friends?kama akila kuku nyumbani kwake ni kosa?mbona wezi wa serikali hii ya mafisadi mnafurahia yote?
  15. L

    CHADEMA yaigaragaza CCM

    hongeleni sana hasa wapiga kura ambao wametambua nuru na kuachana na giza.
Back
Top Bottom