CCM yashindwa kufanya mkutano Wilayani Serengeti

CCM yashindwa kufanya mkutano Wilayani Serengeti

mwitendeone

Senior Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
159
Reaction score
23
Siku ya jana tr 21/9/ ccm ilitangaza kuwa tr22 kuna mkutano utakao utubiwa na kinana na nape lakini watu hawakujitokeza
 
ama kweli kule kwetu mgumu watu wanakesha kulinda maliasili zao dhidi ya jangili kuu.
hawampi hata nukta!!
kweli wanajua kuwa tembo wote weka mbali na kinana.
safi sana wana wa serengeti na akileta zake ni kumgecha tu muraaa huyo jambazi.
 
Serengeti nadhani ni pgumu hapo utakumbuka katika juzi tu Chadema walichukua kiti cha udiwani !
 
ccm ipi unayomaanisha au unayoccm yako nyumbani kwako halafu tarifa yako mbona nyepesi sana imekaa kishabiki bila kujitosheleza.
 
2015 mkoa wa Mara CCM kwa heri. Kama itajitahidi labda atakuwa mbunge mmoja lakini kuna tetesi kuwa mkono kwa kuwa CCM imemtenga ataenda upinzani, kwani tayari CCM imemuandaa Muhongo kuchukua nafasi yake. Na Lugora nae hatakiwi CCM na kuna tetes kuwa tayari ana kadi ya chama fulani. Hofu ya watu ni mgawanyiko wa CDM
Tarime. Bunda labda CCM iweke mwingine kwani huyu Wasira ukiwatajia watu wanatapika. Ameongoza wilaya tangu mwaka 1970. Lakini mpaka leo hata maji hakuna wakati ziwa liko jirani kabisa.
 
Unasema kweli?
 
ama kweli! dalili ya mvua ni mawingu,inatkiwa tu kupima na kutumia busara zako na kufanya uamzi sahihi!
 
Nepi wauza sembe na meno ya tembo hawajatoa mchango watu wasombwe na malori waje kwenye mkutano?
 
watu wa Serengeti wana kumbuka kwamba adui nambas moja wa tembo ni kinana hivyo watu walikuwa busy kulinda tembo badala ya kwenda kumsikiliza wakati haja rudisha wale tembo aliowapakia kwenye meli.
 
Serengeti nadhani ni pgumu hapo utakumbuka katika juzi tu Chadema walichukua kiti cha udiwani !

Umekosea Mkuu. Uchaguzi mdogo wa 19/6/2013 wilaya ya Serengeti kata ya Manchila CCM kama kawaida walifanya vitu vyao wakawalundika wafuasi 105 wa CDM mahabusu siku moja kabla ya uchaguzi. Matokeo CCM kura 676; CDM kura 625 na CUF kura 16.
 
Back
Top Bottom