Waliomzomea Nape na Kinana mbaroni

Waliomzomea Nape na Kinana mbaroni

na kunajamaa toka pande hizo anasema halmashauri ilipewa amri ya kujaza mafuta ktk gari zake kwa fedha ya halmashauri na kuzitia msafarani
 
OCD ni mwajiriwa wa serikali iweje asindikize wanasiasa? CCM wana green guard kwanini wasifanye kazi hiyo? Hivyo inamaana huduma mihimu ambazo OCD ilikuwa azitoe kama moja ya wajibu wake zimesimama. Akwatwe mshahara kwa kutowajibika kituoni kwake.

Nani wa kumfunga paka kengele?
 
Sasa kama mkutano ni wa wanaCCM, Hawa vijana wametoka wapi kwenye mkutano usiowahusu, au wametumwa na Babu kutimiza ahadi zake kabambe na makini kuwa nchi haita tawalikaa??

walikwenda kusikiliza sera, au ccm haitaki wananchama wapya?
 
Kazi yake ni kuangalia usalama wa raia,hao vichaa wenu wa cdm wangechoka kuzomea wangeanza kurusha mawe,chadema mnaleta siasa za kipuuzi za kuzomeana

wewe kweli ni msukule. Umesoma wapi kuwa hiyo misukule yako ya ccm imezomewa na chadema? Rudi shule ukaelimike. Wanaowazomea hyo mamisukule ni wananchi wakiwemo ccm waliowachokeni. Manguruwe yasiuyoshiba.
 
Haya Masisiem kila yanapozomewa yanasema ni Chadema..! Hivi nyie masisiem hamjui kila mtu kawachoka....!
 
kama kinana anafurahia kushangilia ni muhimu pia akubali kuzomewa.hakuna kosa kama unazomea bila kutukana naomba zomea zomea kwa ma ccm iendelee kwa kasi zaidi.

VIJANA 27 wanaosaadikiwa
ni kutoka vyama vya upinzani mjini Bunda wapo mikononi mwa polisi
kufuatia Amri ya viongozi kuwa wakamatwe kwa kukosesha amani mkutano wa C
C M.

OCD kusindikiza msafara wa Kinana Butiama hadi akirudi ndo tutawapa Up
date.

UP DATE vijana waliokamatwa wamechiwa huru na wataitwa kama
watahitajika,hii ni baada ya uongozi wa CHADEMA Bunda kuwatoa,baadhi ya
vijana ni Dickson Manyama na Masanja hawa ni vijana a UVCCM ambao
hawakuwa wanaafiki matusi ya Nape na watajiunga na CHADEMA.
 
OCD ni mwajiriwa wa serikali iweje asindikize wanasiasa? CCM wana green guard kwanini wasifanye kazi hiyo? Hivyo inamaana huduma mihimu ambazo OCD ilikuwa azitoe kama moja ya wajibu wake zimesimama. Akwatwe mshahara kwa kutowajibika kituoni kwake.

Huyu na wenzake walipata mpaka lift ya polisi wacha hao wanaosindikizwa tu:

KILEO+CHADEMA+1.jpg
 
Kuzomea ni gesture ya kisiasa kukataa kuuziwa mbuzi kwenye gunia sasa hao mumiani wa kisiasa vichwa vimewajaa misongo ya mawazo mara wamempoza balozi wa china ooh mara wanatakiwa kujibu tuhuma za kung,oa meno ya tembo,mara wanatakiwa waseme wachina walimuachiaje ridhiwani na mabegi ya dawa za kulevya matokeo yake hasira kwa vijana ambao wameenda kwenye mkutano walioitisha wao,mbona wanalikoroga kama carolight anayopaka nape duh
 
Huyu na wenzake walipata mpaka lift ya polisi wacha hao wanaosindikizwa tu:

KILEO+CHADEMA+1.jpg

Kiboko chenu mahakama manake zinawazaba mokofi ya nguvu ,mpaka Jakaya mwenyewe kakili propaganda za kishetani haziwezi kamtimua mwigulu na masalia yake wanazurura na kushinda kwenye mitandao bora atumie wachina wa ubalozi ha ha ha, aibu mwenyekiti kajaa ukakasi hana tena mipango
 
Sasa kama mkutano ni wa wanaCCM, Hawa vijana wametoka wapi kwenye mkutano usiowahusu, au wametumwa na Babu kutimiza ahadi zake kabambe na makini kuwa nchi haita tawalikaa??

Kwani wananchi wote wanahudhuria hii mikutano ya vyama ni wanachama wa hivyo vyama? Kama CCM walitaka wanachama wao tu pale basi wangewataka waje na kadi zao.
 
...Ma*** ya Serukamba na Lusinde yanawahusu maccm
 
Haya Masisiem kila
yanapozomewa yanasema ni Chadema..! Hivi nyie masisiem hamjui kila mtu
kawachoka....!

Ni siasa za kitoto (chuo kikuu) kushawishi watu kuwazomea viongozi wa upizani au chama tawala
 
Kiboko chenu mahakama manake zinawazaba mokofi ya nguvu ,mpaka Jakaya mwenyewe kakili propaganda za kishetani haziwezi kamtimua mwigulu na masalia yake wanazurura na kushinda kwenye mitandao bora atumie wachina wa ubalozi ha ha ha, aibu mwenyekiti kajaa ukakasi hana tena mipango

Tumezuia mambo kama hayo kwa yule balozi wa CDU. Unakumbuka?
 
Hoja ya kipuuzi sana dada. Inakushushia heshima!

Naona mnashangaa kuona Polisi wanasindikiza msafara wa Kinana, mlitaka nanyi msilindwe? na huo ni mfano kuwa Polisi wanakuweka chini ya ulinzi wakati wowote amma kwa kukusindikiza amma kwa kukupa lift, kama huyo kijana na wenzake.

Hata Mbowe alipochelewa kwenda mahakamani Arusha, Polisi walimpeleka kwa kutumia ndege yao, au umesahahu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom