Nam naungana na waliosema hiyo haikuwa sababu ya wewe kuacha kazi, haimake sense eti uache kazi ili ukamuuguze mama yako, hela ya matibabu, gharama ya chakula n.k ulitegemea utapata wapi? Wewe ni mtoro ulienda piga issue zako. Anyway kuhusu wanaosema yawezekana ajira yako ipo usiweke asilimia...
Zama zimebadilika, utandawazi umebadili mambo.
1.Kuolewa hakuchukuliw tena kama jambo la heshima kama wazee wetu walivyokuwa wakiaminishwa, wanawake wa zaman waliweza kuolewa hata na watu wasowapenda na kuweza kuvumilia vipigo na manyanyaso kisa tu kulinda hadhi na heshima za familia zao, siku...
Kwenye penshen ya mirathi ikotokea marehemu amefariki na ana watoto wadogo chin ya miaka 18 na alitimiza miaka 15 kazini basi yule msimamizi wa mirath atakuwa anapewa penshen kula mwez had pale mtoto mdogo atakapotimiza miaka 18 kama mwanafunzi 21, lengo ni kuwasaidia watoto wa marehemu waweze...
Unatakiwa utoe notification kwa mwajiri wako miezi sita kabla ya tarehe unayotarajia kustaafu kwa hiari. Kustaafu kwa hiar iko kisheria kwahiyo mwajiri hana mandate ya kukukataza, hata isipokuwa kwa tatizo la ugonjwa una uwezo wa kustaafu kwa hiari. Mwajiri atakuandikia kibali cha kustaafu...
Mi ndio mesikia leo flagyl inatoa mimba, pamoja na kuwa na mtoto tayar, nam huenda ningeumwa tumbo enz hizo na kushauriwa kunywa flagyl yawezekana ningekunywa, so usimuhukumu huenda hakujua. Japo kama mjanja ukiwa mjamzito kabla ya kunywa dawa yoyote atleast angegoogle
Hastahili kupokea, mstaafu akifariki ndio huwa mwisho wa kupikea penshen ya kila mwezi. Na ndio maana huwa wanafanya uhakiki kila baada ya miezi 6 kama cjakosea. Kwa hiyo uhakiki ukifanyika tu ndio bye bye bi mkubwa hatapokea penshen tena. Wanaoendeleaga kupokea penshrn ya kila mwezi ni wajane...
M hr by professional nafanyia kazi hizo mambo sana, mwalimu wa degree tgts d1 anaanza na 716,000/=. Huyo kafika d2 ndio hiyo 733,000/=.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman nina chunusi hadi zinapandiana, sikuwahi kuwa nazo kabla ila nadhan zimetokana na ujauzito, kama kuna mtu anajua dawa, muda mwingine hadi natamani nisitoke nje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.