Mshahara wa mwalimu level ya degree ni kiasi gani

Mkuu, Kwani kuna shida gani hata ukinijua.

Maisha ndiyo haya haya tu, kingine hizo namba ziko mbili hivyo niliiona haina umuhimu sana.

Asante kwa elimu.
Hiyo namba iliyoandikwa pembeni kushoto identifies right away. Kwanini mnaojihita wasomi mnashindwa kujua vitu vyepesi kama hivi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maboto ndio nini?
Walimu wanajua,ni kampuni ya mikopo pia.
Bado hawajapita wauza vyombo,madeni dukani,kila mwalimu ana daftari lake ikumbukwe.
Bado stress za afisa elimu,mratibu elimu na mkuu wa shule,hutu hujifanya tumungu watu,saizi nimeona hadi mameya wanapiga biti waalimu (rejea Meya_Tanga)
Mwalimu unarudi nyumbani hata kutomb'a hutomb'i una hasira si mchezo ndio maana wengine wanapiga wanafunzi hadi wanaua.
Vijana kuweni makini na kazi mnazoziingia heri uwe dereva bajaji mwenge_ubungo kuliko chaka hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hapa sema currently imeongezeka kidogo kwa walimu wa science


So take home yao ni Tsh 565,640 kama hakuwa na mkopo wa loan board
Screenshot_20210405-194649~2.jpg
 
Back
Top Bottom