Recent content by LENGISHO

  1. LENGISHO

    Je, Wachagga wanaongea lugha moja?

    Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? –...
  2. LENGISHO

    Zifahamu siri za maisha

    CHUKUA HIZI SIRI 11 ZA MAISHA, KAMA ZITAKUFAA 1. .SIRI YA KWANZA Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake! 2. .SIRI YA PILI Usimwamini sana...
  3. LENGISHO

    Kanali Mamadi Doumbouya awasihi viongozi wa dini kuacha matabaka

    Raisi wa mpito wa Guinea aliyetwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi nchini Guinea, ameanza kutoa masomo ya kizalendo kwa taifa hilo, Afrika na duniani kote. Siku ya Ijumaa, Kanali Doumbouya na walinzi wake waliandaliwa siti za mbele katika msikiti wa Boulbineti huko mjini Conakry nchini...
  4. LENGISHO

    Unafiki wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Serikali hii ya sasa ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwendazake .... Tutajionea mengi sana
  5. LENGISHO

    #COVID19 Matumaini: Dawa ya COVID-19 yadaiwa inakaribia kupatikana

    Jaribio la wanasayansi kubaini dawa ya homa ya Uviko-19 linaelekea kuzaa matunda baada ya kuwapo kwa taarifa za matumaini makubwa vidonge vya ‘Molnupiravir’ kufanya kazi kwa ufanisi kutibu ugonjwa huo. Dawa hiyo iliyofanyiwa majaribio na kampuni ya kimataifa ya kutengeneza dawa ya Merck iliyopo...
  6. LENGISHO

    Kibu Denis raia wa Tanzania mzaliwa wa DRC

    [emoji404]Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kuwa serikali imempatia uraia wa Tanzania mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Kibu Denis kwa mujibu wa Sheria ya Uraia, Sura ya 357 (Rejeo la 2002), baada ya kupokea ombi kutoka TFF kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na...
  7. LENGISHO

    Dawa gani nzuri ya kutibu Fungus?

    WanaJf naombeni ushauri je ni dawa hani Nzuri ya kutibu Fangas sehemu za Siri ? Nimeshatumia dawa lakin naona mambo hayakai sawa ... Naombeni ushauri
  8. LENGISHO

    Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

    Kesi ya Unyang'anyi kwa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili Daniel Mbura na Sylivester Nyegu imeahirishwa mpaka Oktoba 15, 2021.
  9. LENGISHO

    Leo nataka nifanye kautafiti kadogo kanachochekesha

    Men, unaweza kumwambia mwanaume mwenzio "I Love You"? Embu chukua simu yako nenda kwenye sehemu ya kuandika ujumbe mfupi mwandikie rafiki yako wa Kiume, Anza na salamu, umwambie you Love him then utume screenshot hapa alivyokujibu!![emoji1]
  10. LENGISHO

    Picha hii ina maana gani?

    Anaelayuka ni wakili wa serikali ..... Anaesikiliza n KIBATALA .... Kwenye kesi ya mbowe na wenzake
  11. LENGISHO

    Hii tabia imezuka kwa couples wengi miaka hii

    Duu hiyo sasa n hatari
  12. LENGISHO

    Je, TFF imeamua kuudanganya Umma kwa makusudi?

    Iv msimu mzima kuna timu imeingiza mashabiki 65 tu kwenye uwanja wao ?
  13. LENGISHO

    Je, TFF imeamua kuudanganya Umma kwa makusudi?

    Kwa hizi takwimu TFF Watueleze inamaanisha uwezo wa uwanja wa Mkapa ni mkubwa kuliko Estadio Camp Nou F.C. Barcelona ambayo inabeba mashabiki 99,354 au Rungrado May Day Stadium wa huko Korea ya kaskazini wenye uwezo wa kubeba mashabiki 150,000 au uwanja wa Wembley wa nchini Uingereza ambao...
Back
Top Bottom