Always conflicts zinaleta afya kwenye taasisi, tusiwe kama wale jamaa kila kitu wanafanyia sirini,
chadema fyatuateni ivoivo ndio chama kitakua na afya, i like that
Usingekua na mtu wa kumuuliza, na hao uliowauliza wasingekwambia tapeli, what could have happened?
ungekuja kutushirikisha kilichotokea? kweli celin aliisemaga ---if walls could talk! ---I was just thinking aloud.
mzee kajipange urud kivingine, hoja yako imekosa mashiko watu wote wamekukataa, kiukwel umekuja na hoja nyong"onyevu, yaani elim imekua na matabaka yote hayo unamlaum ndalichako
Kutokujua tu kazi ya necta inatupa picha nzima ya nature na uwezo wa radio presentaz wa clouds fm, walirusha hicho kipindi mim nilikiskia, kwa upeo wao mdogo hawakujua impact yake, hii radio inasikitisha kiukwel, tangu masud kipanya aondoke, power breakfast haifai kuskiliza.
Taja majina ya hao facilitators ili tujue are really eligible ukilinganisha na amount ya chapaa uliyotaja hapo, Kufacilitate hiyo training siyo dhambi hivo kuwataja sioni kama ni shida unless uwe na elements za usanii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.