Recent content by lekete

  1. lekete

    Wapi nitapata brown rice kwa bei nzuri?

    Ninatafuta mchele wa brown kwa bei ya jumla. Tafadhari mwenye taarifa yoyote ya mahali ninapoweza kuupata anisaidie
  2. lekete

    Lenovo idea pad inauzwa

    Laptop: Lenovo ideapad S510p Processor: Core i3 1.70Ghz Ram: 4GB Storage 500GB Price: Tsh 500,000/= Used in 2 months Call/whatsapp: +255718819347 kwa maelewano
  3. lekete

    Lenovo Z50 sokoni

    Laptop:Lenovo Z50, inauzwa. Imetumika kwa mwezi mmoja tu. Haina tatizo lolote. Processor: Icore i5, CPU 1.70, 2.40GHz, RAM 8GB, System 64Bit, HDD 1000GB. Fixed price:600,000/= Call: +255718819347
  4. lekete

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nimeku pm mkuu. Sijui umeiona?
  5. lekete

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  6. lekete

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo majini yanakupa company!!
  7. lekete

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Kuna uchawi wa kutumia picha/kifaa ya mtu? Mfano unaweza kufanya uchawi wa kimapenzi kutumia picha ya mtu/nguo yake/viatu vyake alivyovivaa?
  8. lekete

    Ni chuo gani nchini kinatoa Course ya Project Planning and Management

    Rudia kusoma post yake. Nyie ndo mnasomaga tu vichwa vya habari mna conclude. Idiot!!!
  9. lekete

    Ni chuo gani nchini kinatoa Course ya Project Planning and Management

    OUT, Mzumbe Univ, Nairobi university, Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology JKUAT Details
  10. lekete

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Download tubemate from Google not Playstore. Playstore haipo hiyo app
  11. lekete

    Natafuta mganga

    Natafuta mtaalam/mganga wa ukweli. Kwa yeyote ambaye amewahi kupata huduma kwa mtaalamu na akamfanikishia, tafadhari ni PM unisaidie maelekezo ya alipo huyo mtaalamu. Sihitaji wahubiri hapa, hata mimi Mungu namjua. Nipo serious, sipo kufanya masihara. Tafadhari. Naishi dsm
  12. lekete

    Natafuta mtaalam/mganga wa ukweli

    Najua wengi sana wanauhitaji na hawa wataalamu, sema ni issue ambayo mtu hawezi kuitangaza. Tuliozidiwa kama sisi ndo tunajitokeza humu kwa account mpya ili kupata msaada. Sasa katika kuhangaika huku na kule, nimefanikiwa kupata wataalamu wawili wote ni wazee wa uziguani. Nimepata huduma ya mzee...
  13. lekete

    Natafuta mtaalam/mganga wa ukweli

    Naomba unipe maelekezo pm. Please
  14. lekete

    Natafuta mtaalam/mganga wa ukweli

    Kwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu. Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii. Naelewa ninachokifanya, kwahiyo...
Back
Top Bottom