Najua wengi sana wanauhitaji na hawa wataalamu, sema ni issue ambayo mtu hawezi kuitangaza. Tuliozidiwa kama sisi ndo tunajitokeza humu kwa account mpya ili kupata msaada. Sasa katika kuhangaika huku na kule, nimefanikiwa kupata wataalamu wawili wote ni wazee wa uziguani. Nimepata huduma ya mzee mmoja na iko vizuri. Sasa, kama yeyote anajitaji, ani PM
Remember "Never say Never" hii dunia ina mengi, yanayoonekana na yasiyoonekana. Kama unaamua kumtegemea Mungu kwa kila jaribu, hakikisha kua una imani thabiti na unaomba bila kuchoka pia usiwe mtu wa kukata tamaa na kuchoka, lakini kama unajua katika hali ya kibinadamu huwezi kustahimili jaribu lililokupata kwa kuomba na kulia na kusugua goti kwa mda ambao Mungu atakupa, basi usiseme "I will never". Sikuwahi kuwaza wala kufikiria wala kutegemea kuiacha njia ya maombi, bali dunia ni kubwa kuliko tuifikiriavyo.