lekete
Member
- Mar 21, 2016
- 15
- 19
Kwa yeyote anaemfahamu mganga wa jadi wa ukweli, na alishawahi kumsaidia naomba ani pm. Sihitaji ushauri, nahitaji msaada huo tu.
Ni mkazi wa bongo hii hii. Nina shida ambazo siwezi kukaa kusikiliza ushauri mwingine Zaidi ya kutafuta suluhu kwa njia hii.
Naelewa ninachokifanya, kwahiyo msianze na mahubiri, hii ni dunia tu na dunia ina mengi. ni jinsi tu kila mtu anavyoamua kutatua shida zake ili maisha yaendelee. Tafadhari sana, nipo serious sana na nipo na wakati mgumu sana.
Naomba mwenye kumfahamu mtaalamu wa ukweli, ani pm namba yake au anielekeze alipo