Recent content by lejojoo

  1. lejojoo

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Kila binadamu na riziki yake, we mchukue ,kaa naye atakuja na riziki yake, na hata huyo mtoto atakuja na riziki zake! nb ; Wewe una mshahara wengine tunasomba nzege,ujira wetu ni kidogoo, lakini hatukimbii majukumu, kila lahel kwako
  2. lejojoo

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi apigwa mbele ya mtoto wake huku akirekodiwa, kisa kumuibia hela Mama (boss wake), kisha akafukuzwa

    Kama huyo mama hatakamatwa ntajisikia vibaya sana, hata punda hazipigwi hivyo, ubinadamu uko wapi??@dorothygwajima
  3. lejojoo

    JamiiForums Tanzania UVCCM wameandika barua kwa niaba ya NCHIMBI ikasambazwa kwa kutumia pesa, Nchimbi kanyimwa nafasi ya kukanusha.

    Barua ilianzia kwenye page ya machimbo, ko uvccm walitangulia kuchukua simu
  4. lejojoo

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa najua wakuoa hawa wenye makalio makubwa ila hao sio kabsa wa kuwasogelea

    Akiwa na akili ya kulea mimba ,watoto, usafi, inatoshana! Akili tutatumia za kwangu
  5. lejojoo

    JamiiForums Tanzania Heche Anakiwasha Sana leo Clouds TV/FM - MSIKILIZENI

    Nlikuwa nmelala, nmeamkaaa
  6. lejojoo

    JamiiForums Tanzania {Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

    Huyu achukuliwe hatua mapema, tukimchekea huyu kuna siku atamchinja mkewee
  7. lejojoo

    JamiiForums Tanzania {Inadaiwa ni mkewe}: Kwanini mtu amchape hivi Mke wake? Hi si sawa na haikubaliki

    Serikali isipochukua hatua hili suala itakuwa umekosea saana
  8. lejojoo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Kuna watu wanatumia video za matukio ya Oktoba 29 kama mtaji wa kisiasa

    Kihongosi yupo sahihi saaaaana, na Kwa mara y kwanza tumepata msemaji wa chama imara kweli kwelii
  9. lejojoo

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Mwanamke ana Uke Automatic. Hutomwacha

    Picha iko wapi ??
  10. lejojoo

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa kumkufuru mtume Muhammad S.A.W

    duuh mtume alikuwa wapi mda huo???
  11. lejojoo

    JamiiForums Tanzania Naenda na Dotto Biteko Uwaziri Mkuu Katika Baraza lijalo la Mawaziri

    Mchengerwa unamuweka wapii???
Back
Top Bottom