Hili lina ukweli huko Sumbawanga ?

Hili lina ukweli huko Sumbawanga ?

Hata kama muhusika yupo kashika maiki anahutubia Raia inapita nae?
Inapita naye mapema sana na mtajua ni radi ya kawaida, sababu inatoka juu as usual na mara nyingi wanazituma muda mvua ikinyesha au ikianza kunyesha story za uchawi ukisikiliza sana unaweza ogopa hata kwenda sehemu ila ni vitu fulani normal na tumezoea
 
Sasa Mimi ntatuma jua la sa7 mchana Nina hasira Sana na watesi wangu
 
Mnaosema Uongo means ni kitu kigeni kwenu kusikia..hilo jambo analoongea huyo jamaa ni kweli kabisa 100% .Radi zinauzwa kabisa...kama una mbaya wako inatumwa kumsambaratisha
 
bei yake kali sana.
Elfu 50?
kuna chimbo la radi za buku buku na inafanyiwa majaribio kabla hujanunua
 
Kuna mkoa fulani tuliishi miaka ya nyuma kuna familia mmoja ilisambaratishwa na radi kikatili sana,
Wenyeji walielezea lile tukio kama kisasi .
 
Back
Top Bottom