Ndani ya taaluma ya udaktari, kuna specialities nyinginyingi kama dentistry, surgical, orthopedics, ophthalmology, gynaecology na nyingine nyingi tu. Nadhani hizi tuhuma zinawalenga zaidi MD GP (Medical doctors General practitioners) ambao wengi wao wamebaki kuwa prescibers tu wa dawa sio...