Recent content by legho

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma party 2; misheni ya kumrudisha Khadija wangu

    Vijana wa siku hizi mnachangamoto sana. Iko hivi, tafuta rafiki yako mwenye busara na unaemuamini sana. Mshirikishe hili jambo. Then fuata ushauri wake. Nakuambia hivyo kwa sababu hata mimi yalinikuta kama yako. Nikamshirikisha jamaa yangu wa karibu. Jibu alilonipa akaniuliza , unajua kwa nini...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kama unataka uishi maisha marefu hapa duniani, basi achana na wake za watu

    Umeoa au unategemeq hutoa?Kuna muda utafuka kuoa itakupasa ni lazima na ndio wakati huu utamuelewa mleta mada ana maana gani
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nimemtumia nauli, sijui atakuja?

    Vijana wa siku hizi akili zenu sijui zikoje. Tuma nauli kwa mwanamke ambaye ushawahi kumlq. Uyo hawezi kimbia na nquli. Uyo wa first time humu8ni ng*o. Jiandae kupiga nyeto
  4. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba nje ya maslahi, biashara na mishahara hivi wanaipenda timu, sio kwa maumivu haya tunayopitia mashabiki

    1. Sita mfululizo 2. Mbili mfululizo Inatafutwa timu ya 3 iwe mfululizo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

    Pole mkuu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

    Upo sahihi mkuu. Nashangaa wanaomtaka Nabi
  7. L

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa nyumba inapaswa kusimamiwa na mwanaume kwanza

    Hayo ya kutafutq hesjima yalikua enzi za bibi zetu sio wanawake wa sasa ambapo ukimuoa unaambiwa akikushinda mrudishe. Bibi zetu kipindi wanaolewa wanaambiwa hapa hurudi tena huna mji. We timiza majukum yako na kuwe na mipaka ya kutovunjiana heshima.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Yanga ni team ya pili kwa thamani Afrika baada ya Al Ahly

    Shida uelewa mdogo wa watu Kuna tofauti ya thamani ya club ya Yanga na thqmani ya kikosi cha Yanga
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wamepatwa na nini?

    Kumbe mdada Sorry
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuku wangu wamepatwa na nini?

    Vitu vingine kama huna majibu kaa kimya sio kuleta ujuaji.
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wangekuwa wanashiriki I Uchaguzi CCM pangelikuwa na utulivu?

    Heading chadema na ccm. Content chauma Si comed hii?
  12. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wangekuwa wanashiriki I Uchaguzi CCM pangelikuwa na utulivu?

    Mada zako jamaa. Unakuta wengine wanakuchukulia serious kabisa binafsi uwa nacheka tu mada zako
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini jiji kama Tanga na maeneo ya Pwani hayaendelei kiuchumi na uamini kwenye kuroga sana

    Hoja mufilisi Unaweza kukuta kina Massawe,shayo Sanga wamejenga maeneo ya ukanda wa pwan na wanaishi vizuri. Huwezi kuta Pazi, Shehoza au Sanga kajenga vijiji vya Kilimanjaro. Sasa nani anakataliwa na wenyeji?
Back
Top Bottom