Sijui kama nitakua nipo sahihi but kwa jinsi nilivoelewa ni kwamba azam, dstv na zuku wana option mbili, either kuonesha bure au kuziondoa, azam wameona waondoke na hii ya kuziondoa kabisa kuliko kulipia.
Asante mkuu, nilichogundua anataga mara mbili kuna muda asubuhi kuna kuku nilimshuhudia akitaga, jioni hii nilipoenda kuwaangalia tena nimemshuhudia kwa macho yangu kuku yule yule akidondosha yai ila kwa sababu lilikua laini likapasuka, labda kama niliwachanganya, ila nashukuru kwa ushauri mkuu
Habari za kazi wakuu? Naomba niende straight kwenye point yangu, nimekua nikifuga kuku wa kienyeji kwa mwaka sasa lakini kuna tatizo nimelipata siku za karibuni baadhi ya kuku wanapasua mayai wanakunywa na kula maganda yake kama hiyo haitoshi pia kuna baadhi ya kuku wamekua wanataga mara mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.