Ni kitu gani ulishawahi kusema huwezi kufanya kwenye mapenzi/mahusiano ila ukaishia kufanya?

stritglow

JF-Expert Member
Apr 7, 2018
622
1,751
Haya maisha bhana, yako funny at times.

Unakuta mtu anasema kuwa mimi siwezi kufanya hiki na hiki, hata kwa dawa. Unakuta anawashangaa kabisa watu wengine wanawezaje kufanya hivyo.

Mfano tukija kwenye mahusiano ya kimapenzi, mtu anasema "mimi sisomeshi mwanamke yoyote, hata awe mchumba wangu sisomeshi." anaapiza kabisa. Siku ya siku mnashangaa mshikaji yupo busy anasomesha mwanamke wake, mpaka mnashangaa ni huyu huyu aliekuwa anatuambia hata kuja kusomesha mwanamke au mwingine. Mnabaki kumkumbusha alivokuwa anasema na kuishia kufurahi tu.

Tukija kwa wanawake unakuta wanaambiana na wenzake, "mwanaume ambae hahudumii hapati kitu kutoka kwao, mara hawataki kukopwa" n.k Wanajazana ujinga wee. Huko mbeleni mmoja wao anapata mpenzi, na kila siku anajipeleka mwenyewe kwa bwana wake, na hata senti haombi.Ndo keshapenda huyo. Karidhika.

Kuna hayo na mengine mengi.

Kwahiyo turudi kwenye kichwa cha mada, ni kitu gani ulishawaijiambia au kusema hutakuja kutenda ukiwa katika mahusiano ya kimapenzi lakini ukaishia kufanya.
 
Kufumua rinda
Una moyo kaka. Kuna mdada ambaye nilipenda siku moja aje awe mke wangu. Yule dada aliniambia kwa kuniapia kuwa siku ntakayomla tigo atanichoma kisu aniue. Nami nikaapa sitokuja kufanya kitendo hicho. Siku moja nakujagundua kumbe ni mgawa tigo mzuri tu. Nikajikuta nimefanya kitendo nilichoapa kutofanya na wala sikuchomwa kisu..
 
Hahaha mzee nipo hapa nacheka vibaya mno.

Sa mi na wewe nani ana moyo?
 
Na mi nimejikuta nacheka. Basi ngoma droo..
Kweli ngoma droo.

Mimi sikuapia ila nilijiwekea kua sitakuja kufanya. Kuna siku nipo klabu kuna mmama mtu mzima akaniambia ananisubiri tukifunga tuondoke wote.

Tukaondoka.

Niko broke ananiambia nitakulipa kwa idadi ya mabao, ukipiga mbele bao moja 10,000/= ukihama bao moja 30,000/= Tulilala siku mbili nililipwa 450,000/=
 
Hahahahaha yaani wewe!
 
Una moyo kaka. Kuna mdada ambaye nilipenda siku moja aje awe mke wangu. Yule dada aliniambia kwa kuniapia kuwa siku ntakayomla tigo atanichoma kisu aniue. Nami nikaapa sitokuja kufanya kitendo hicho. Siku moja nakujagundua kumbe ni mgawa tigo mzuri tu. Nikajikuta nimefanya kitendo nilichoapa kutofanya na wala sikuchomwa kisu..
:D. Mara nyingi huwa wanaongea kinyume hao.
 
Back
Top Bottom