Recent content by Left back-gunner

  1. Left back-gunner

    Mume wangu anaumwa!

    Mimi nimempa dawa za Ki sunna..ni utaratibu wa maisha ambo Mtume wetu ametutaka tuishi...dawa nilizompa hapo hazina side effect yoyote ni kama unakula chakula tu..nafikiri huijui Tiini ni nini,pia hujui matumizi ya kitunguu thomu zaidi ya kupikia nyama...kuhusu suala la damu najua akienda...
  2. Left back-gunner

    Mume wangu anaumwa!

    Dawa 1 nimesahu chukua majani machanga ya mpapai na uchemshe awe anakunywa nusu kikombe kile kidogo sio mug!
  3. Left back-gunner

    Mume wangu anaumwa!

    Habari yako...Mwambie aende hospitali na apunguze damu mwilini kwa kuwachangia wagonjwa au kuweka katika blood bank. Pia mwambie atumie matunda yanaoitwa tini..ale kokwa 7 asubuhi na 7 akitaka kulala....pia tafuta vitunguu thomu vile vidogo na awe anatafuna 7 asubuhi 7mchana na 7 usiku.....pia...
  4. Left back-gunner

    Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

    Katika Vitabu vyote vya Mwenyezi Mungu Taurati,Zaburi,Injili na Qur-ani kutiziamia kwa kufuata nyota ni ushirikina...Kwa hio sishangai kwa walioandika vitabu vya mkusanyiko (BIBILIA) na wao kuliona hili.....
  5. Left back-gunner

    Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

    mkuu nikuulize suali wewe sio gay?
  6. Left back-gunner

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Allah akufanyie wepesi
  7. Left back-gunner

    Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

    ni nyumba maalum zilizowekwa kuwasaidia watu kuwacha kutumia madawa ya kulevya...wao wana utaratibu mzuuri sana..
  8. Left back-gunner

    Msaada jinsi ya kuacha kuvuta bangi

    Bangi zimekuumiza sana mkuu....Tauta sobahouse uweze kuacha...
  9. Left back-gunner

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    pia ni vyema ukaacha mara moja kutumia izo sumu za wazungu..
  10. Left back-gunner

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Tafuta asali safi...Saga tangawizi mbichi,mapoja vitunguu thoumu na pilipili manga(black pepper) kamua juice hii weka kwenye kikombe cha asali kunywa mara 3 kwa siku....Kama bado utakua nayo flue ni Pm na tutawasiliana zaidi....
  11. Left back-gunner

    Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

    Mkuu ni wazo zuri...ila ni zoezi zito..ili dunia hii ufanikiwe lako...lazima uungwe mkono na Mabwana wa dunia hii...Suali linakuja Je wamarekani wanaweza kukuunga mkono kwa wewe kudai fidia ya Utumwa? wakati wao na wajerumani walikua ni vinara?....Kila kheri mkuu tuko nyuma yako tunakuunga mkono!
  12. Left back-gunner

    Spika Anna Makinda yupo ziarani nchini Oman

    Hivi ndivyo mwanamke anatakiwa kuvaa!
  13. Left back-gunner

    Hii gonjwa hii

    Waislmu waliwahi kumkalia kikao cha itikafu huyu Mueshimiwa...Dua yao walimuomba Allah amshushe chini taraatibu...sasa sijui kama ilikubalika au vipi?
  14. Left back-gunner

    Truth about Ebola

    sio suala la kua vilaza ila watu waliokaa kusubiri amri yoyote ije watekele...mimi kwa sasa siwaamini viongozi wa Tanzania
  15. Left back-gunner

    Kikao cha NEC ya CCM yampongeza Mh. Edward Lowassa, mjini Dodoma

    Si kosa kuwadhihaki miungu wa kisanamu...ila ni kosa kumdhihaki Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na Ardhi..ambae hawezi kumkubali Lowasa kuwa kiongozi wa Tanzania...labda afanye uchakachuaji..
Back
Top Bottom