Recent content by Leepadone

  1. L

    Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

    Hongera Travic, unaonekana ni mcambuzi mzuri wa mambo na kwamba huna elements za politics ama haupo political biased. Nimepende ulivyofafanua. Big up
  2. L

    Musoma: Tujikumbushe 1980 - 1990

    Mwita Chacha Manko na Bukwaya Bus Service Limited.
  3. L

    Sector ya nyumba za kupanga imekumbwa na mtikisiko mkubwa sana, hali mbaya

    Hii inahitaji uelewa mdogo tu. Biasharara fake maana yake pesa zilikuwa nyingi mitaani ndio maana jamaa yakoakawa pia ana wateja wengi na hivyo mauzo makubwa. Baada ya biashara fake kupigwa marufuku sasa imebaki biashara halali yenye kuonesha kipato halisi cha mtu. Watu kama madalali wakiondoka...
  4. L

    Mkapa signed bad mining deals, Magufuli wants to bury them, but legally he can’t

    Tatizo ninaloliona katika uchangiaji hii mada ni kutokujua contractual terms zilizoingiwa baina ya wawekezaji na viongozi wa serikali?!! Kama terms zinastipulate jinsi ya kupeleka mchanga kwenye smelting process utasindikizwa na watanzania ili wafahamu mwisho wa zoezi kumepatikana KG ngapi na...
  5. L

    Kwanini hakuna wanawake wenye vipara?

    Hapa pana harufu ya kupata jibu. Mdau hebu chakata vizuri ama tudadavulie hapa uhusiano wa korodani na kipara tukae sawa.
  6. L

    Kwanini hakuna wanawake wenye vipara?

    Jamboni wote wana JF. Nimekuwa nikiwaza sana bila kupata majawabu ndipo nimeona niombe kwenu msaada. Ni kwamba maishani mwangu sijawahi kuona mwanamke yeyote yule aliye na upara kichwani. Hii inamaanisha kwamba vipara ni kwa ajili ya wanaume tu? Siku za nyuma niliamini kuwa ndevu ni kwa wanaume...
  7. L

    Hii ndiyo sababu ya kutumbuliwa IGP Mangu?

    Great stuff!!! Thanks
  8. L

    Kuchepuka raha

    Mwanzoni haikuwa bamia ila baada ya kuchepuka ameona imekuwa kibamia? Huyu ameathirika na matunizi ya matango yale yaliyowekwa mbolea nyingi yakaumuka sana.
  9. L

    Maoni yangu kuhusu "vita" kati ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Asante kwa habari maridhawaBold. Tuweke pia sawa juu ya maslahi ya Amerika in S.Korea likewise Russia in N. Korea kama yapo. Carrier kubwa yaweza kuwa na ukubwa gani area sq m ?
  10. L

    Kuhusu hili sidhani kama itapita wiki kabla SIJATEKWA!

    Ulifaidi-je tunda. Mpaka leo utamu bado unao. Woga acha tafakari namna ya kuendeleza huduma wahitaji kama huyo ni wengi
  11. L

    Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

    Tanzania ni nchi kubwa sana katika hizo ulizozitaja. So Imeanza na hao watafuata. Usiwe kila leo unataka kuiga tu kila jambo, bali uwe mtundu wa kupenda kuwa creative watu waige ujuzi wako. Swala la pili ambalo hata mimi sina uhakika nalo ni je, cheo cha uenyekiti kina malipo? Si mkereketwa wa...
  12. L

    Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Hili ni tatizo kubwa la elimu ya watanzania na inainesha wanatumika. Hawajui kama mbunge si kazi yake kugawa chakula ama kutoa elimu bali kushinikiza serikali kutekeleza hayo majukumu. Na ndipo hata watendaji serikalini ww akijua mtu kama huyu danford hajui nao wanapotezea hawatendi majukumu yao.
  13. L

    Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

    Nadhani unamaanisha Dr. Kaushik. Ni kweli huyu ni mtaalam sana anaweza kuea msaada. Lakini pia ushauri wangu ni kuwa choo kinachokuwa na harufu kali mara nyingi ni case ya minyoo. Hebu tafuta wataalam wa magonjwa ya minyoo nao wakushauri. Pole sana ndg.
Back
Top Bottom