Recent content by Lee Cho in

  1. Lee Cho in

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu msaada wa link tafadhali
  2. Lee Cho in

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu ubarikiwe
  3. Lee Cho in

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu Leo Sina access na TV kabisa Naomba app itakayoonesha mechi yetu au website ambayo haina magumashi #GGMU
  4. Lee Cho in

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hahahahah mkuu Unazugumzia Asenoo hii hii au Kuna nyingine?
  5. Lee Cho in

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    W Mkuu unahisi kwamba United kafikia hapo alipo kwa bahati mbaya?!!
  6. Lee Cho in

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    W Mkuu unahisi kwamba United kafikia hapo alipo kwa bahati mbaya?!!
  7. Lee Cho in

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu ulipotea Sana
  8. Lee Cho in

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Boss hii ni comment bora ya mwaka kwangu ni ujinga wa hali ya juu kulalamika eti kisa mtu kakuita black
  9. Lee Cho in

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kabisa maana tumekosa clear chances Tatu kabisa ya FEI toto dk za mwisho, faridi nae alizingua kwenye Sita na kichwa cha mwamnyeto Hope yule namba 10 tuliesajili atatusaidia kuweka kambani baadhi ya chance tunazopoteza pia tunatakiwa ku add quality kwenye attack tunamhitaji mtu lethal kule...
  10. Lee Cho in

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hatimaye VPN kanirudisha jukwaaani By the way tunaomba mwenye namba ya Ole ampigie a mwambie namba ya Fred isiguswe kama ya David degea pia asisahau kumwambia Fred improve pasi zake #GGMU
  11. Lee Cho in

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Yeeees Sasa tuna press
  12. Lee Cho in

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kwann hatu press yaan tunakabia kwenye nusu yetu duuuuuh
  13. Lee Cho in

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Hahahahahah nakubaliana na wewe kabisa kwenye jukumu la kufunga bado Sana aisee Ila kwa washambuliji tulionao mi huwa naona bora akianza yeye maana huwa anajitahidi kukaa na mpira kuliko sogne.
  14. Lee Cho in

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Aisee timu yetu imeanza kucheza vizuri na inatengeneza nafasi za kutosha tu ila finishing bado Sana tunatakiwa kuimprove hapo
Back
Top Bottom