Recent content by Lecheminduroi2

  1. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Una Mke anayewapenda wadogo zake kiasi cha kijana wa umri wa miaka 34 anaishi Kwa Dada

    Sema dah siku hizi hatuwezi kuja kwenu tena mnawaza tutawala watoto wenu? Nina wasiwasi na tabia yako kuliko hata ya huyo mgeni wako! Kwanini ufikirie mambo ya hovyo kiasi hicho.
  2. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Ufuaji wa chuma ni wahaya
  3. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Hizi data za average IQ za Africa mzipuuze

    Mambo mengine mnawasingizia tu wazungu, we mwaka 2025 hii watu wanakunya barabarani,wanakojoa ukutani,wanatupa taka hovyo! Unadhani hiyo jamii ya watu ina akili timamu
  4. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Msafara wa chief Godlove kwenda jimboni kyela

    Ulikuwa na umri gani wakati Abbas Kandoro anakimbizwa Mbeya?
  5. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Msafara wa chief Godlove kwenda jimboni kyela

    Wewe sasa ndio mjinga. Zemanda yupo sahihi pengine sababu ashawahi tembea huo mkoa. Hata kama CCM wanaiba chaguzi bado naona hujajua influence ya wazee baadhi ya mikoa. Unadhani CCM wapo jirani na Chief Mwashinga kimasikhara? Unajua influence ya huyo Chief kwa wasafwa? Unajua kwa Mbeya mjini...
  6. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Kombolela wanajitahidi sana, hongera Azam

    Ile ni tamthilia ya kuangalia mabeki 3, mwanzo alianza vizuri ila tamaa ya kutaka iwe Isidingo inamponza. Kuna siku atajikuta anaishia kuiangalia yeye na waigizaji wake au chumbani kwake na anayempiga mbupu
  7. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Kosa Hili Liliwagarimu Samsung, Google Pixel Wakawapiga Bao

    We mseng* S pen na SamsungDex tu hizi feature 2 zinatosha kumpiga K.O huyo pixel wako. Pixel ni simu ya wanawake na vijana mabarobaro wanaozijaza simu zao miapp kama snapchat. Ila Samsung ni zaidi ya office
  8. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Sekaga pia ni kinyakyusa, cheka'ga
  9. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Huwa najiuliza mara kwa mara hawa ndugu sijui wanayapendea nini hayo majina hahahah
  10. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Hatuna hilo jina
  11. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Tembea kifua mbele, babu yako alimchagulia jina zuri mama ako
  12. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Kinyakyusa kiandike kama unavyokiongea, wala usipate tabu kwenye u weka u kwenye o weka o pia hatuna bh, mfano obhasyobhepo hapo ungeiandika tu ubasyobepo ♥️
  13. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenyeji wa Mikoa ya Kaskazini Wana Haki ya Kuongoza Majimbo Yao

    Watakuita mkabila mkuu, kama ni ukabila basi ni mara 1000% nionekane hivyo ila sitokubali kumpigia kura jimboni kwangu mtu asiyejua hata kata 2 za mkoa wangu
  14. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    90% ya majina ya kinyakyusa yamekaa kiimani zaidi, kwahiyo jina lolote ukiambiwa maana yake husianisha na Mungu. Hapo ina maana unisamehe Mungu. Anyways Mwachiluwi hapo bado kuna Umboke, Lusajo, Amanyisye, Tukupilika, Tukusuma, Ulimboka, Alinanuswe, Gwamahala, Nelusigwe Jina pekee la...
  15. Lecheminduroi2

    JamiiForums Tanzania Fahamu Majina ya kinyakyusa na maana zake

    Hakuna kabila lenye majina yenye maana nzuri kama wanyakyusa, sidhani kama utakutana na jina la kinyakyusa lenye maana ya mateso,shida au tabu
Back
Top Bottom