Recent content by LEAD

  1. L

    CHADEMA inakua kwa kasi nyanda za juu. Rukwa yaongoza, Mbeya, Njombe, Iringa inasua S. Mitaa

    kichwa cha habari kinaongelea nyanda za juu, sasa angewekaje hiyo mikoa mingine?
  2. L

    Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

    Hemedi Kivuyo anatisha....jamaa yuko safi kwa kuweka nakshi kwenye habari....
  3. L

    Kati ya Mbowe na Lyatonga Mrema yupi alitisha katika Upinzani?

    Toa hoja kwanini unasema si kweli?
  4. L

    Kati ya Mbowe na Lyatonga Mrema yupi alitisha katika Upinzani?

    tofauti naiona kubwa sana, kipindi cha mrema watu walimsupport mrema kama mrema lakini sio chama kama taasisi. Yani Mrema ndio alikua kila kitu pale NCCR. Kwa CDM naona Mbowe ni kama sehemu ndogo tu ya CDM kama taasisi, kwa maana sasa CDM kuna watu wengi sana ambao wana mvuto wa kisiasa na wana...
  5. L

    Shamba linauzwa Kisarawe

    kisarawe kubwa, ni sehemu gani ya kisarawe na shamba lina vitu gani pia je ardhi iko tambarare au slope?
  6. L

    Babu Seya: Ufafanuzi juu ya uvumi unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii

    acha uongo, au umeitoa kwenye udaku...
  7. L

    Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    ni uungwana pale mtu anapoomba msamaha asamehewe....umoja ni nguvu..karibu sana zzk
  8. L

    Walinzi wa Kikwete wana silaha za kutosha?

    nenda kwenye kota zao kijitonyama kamuulizie mlinzi pale getini atakupa details zote na kama unafaa nadhani watakuchukua baada ya kukuchunguza kwa undani
  9. L

    Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Safari njema uendako na usirudi tena........eti watanzania wote tumechukizwa!!!!mbona mi mtanzania na sijachukizwa. Sema wewe ndo umechukizwa na usitujumuishe wote...
  10. L

    Kauli ya Mbowe: UKAWA kutoka bungeni

    ccm wanalazimisha kitu ambacho sio realistic
  11. L

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, Trh 17 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Ukawa msirudi bungeni, mkirudi mtapoteza credibility
  12. L

    UKAWA acheni utoto!

    huna jipya nape siku hizi! Mnataka kulazimisha 2 iwe 4.
  13. L

    Mh. Joseph Mbilinyi

    Big up mbilinyi aka sugu
  14. L

    Picha: Nawashukuru sana wanairamba kwa rekodi hii ya jana, Pole sana Dr. Slaa...

    Dah, leo ndo naamini kuwa Mwigulu ni janga la Kitaifa......nimechelewa sana kuamini lakini kwa hili hakuna ubishi... Jamaa kaipeleka Simba ili apambane na Dr Slaa. Dah vitu viwili tofauti kabisa.
Back
Top Bottom