Mh. Joseph Mbilinyi

Mh. Joseph Mbilinyi

Haaaa haaa !! Wengine wanashindwa kukaa kimya , mi alia ha hoi aliposema, hata mgonjwa anapimwa damu kidogo tu , hatuchukui dumu la lita tano , ili tujue mtu ana malaria au ukimwi ,,,,
inachukuliwa damu kidogo kwenye kidole ndiyo wanaona ngoma imekaa vipi....hapo aliniacha hoi kweli
 
Kumchukia sugu we mchukie tu ila sisi wanambeya ni chaguo letu na kamwe atuwezi mwangusha mbona wewe hata uongozi wa familia yako umekushinda long live joseph mbilinyi our mp
 
Wengine Humu Ndani Wanachuki binafsi,

Call spade a spade and not a big spoon,
Sugu Alinikosha

dah sikuwa na mood ya kucheka ila imenibidi nicheke
''call spade a spade and not a big spoon,,
tehhhh
 
Penye Ukweli pabaki Ukweli tu ,Sugu aliongea Ukweli sijaona baya palee..
 
Now days inaonyesha hili jukwaa linawatoto wengi sana hasa wasiokuwa na issue zakufanya kuna vitu vyakusifia jamani,wapo watu chadema wenye uwezo wakujenga hoja ila kwa sugu hapana
 
Yaani hii output ndio mchizi anavuta kilo 3 kwa siku, na wewe unamuona kichwa?? si bora angekaa kimya ndio katiba mpya itaandikwa hivi??

Itaandikwa kwa kauli ya Tibaijuka kuwa "Mtu akikaa na mwanamke zaidi ya miezi sita ni ndoa halali"
 
Now days inaonyesha hili jukwaa linawatoto wengi sana hasa wasiokuwa na issue zakufanya kuna vitu vyakusifia jamani,wapo watu chadema wenye uwezo wakujenga hoja ila kwa sugu hapana

"CHUKI BINAFSI" Hata mwendawazimu anaweza kujenga hoja mkuu
 
Ni bunge la jamhuli ya Muungano ndilo lililao mtoa ki maisha, vinginevyo angekuwa mvaa suruali za kata ----- tuu majukwaani.
 
alichangia ki_hih hop vizee kibao vya ccm havikumuelewa kabisa
 
sugu moto chini haaaaa, sugu moto chin heeeeee, sugu motochini hahahaaaaaaaaaaa lalalaaaaaaaaaa ni moto chiniiiiii tunamjua sugu tangu sangu na meta ya kipindi kile! go on our mp
 
Back
Top Bottom