Recent content by lckelvin

  1. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

    Yote tisa, kumi ni kwamba kijana una roho ngumu, kwa hiyo mwanao alikuwa anashinda asubuhi mpaka jioni na humuonei huruma
  2. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    The return of kula tunda kimasihara females edition[emoji23]
  3. lckelvin

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

    Nakumbuka alteza yangu nilimpa fundi laki nne kwenda kunijaribia kama lina tatizo
  4. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kijana fwala kweli njoo malizia,watu tushadinda alafu story aimaliziki[emoji23][emoji23]
  5. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    [emoji23][emoji23][emoji23]na mwambie walioanza walkua wakiuliza uliza ivyo ivyo
  6. lckelvin

    JamiiForums Tanzania Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

    Hesabu yako ya asilimia 70 umetumia njia gani kuipata?au ni makadirio?
  7. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kusinyaa baada ya kuvaa kondom limekua sugu

    Sema hii ishanikuta,dem ana jasho kali harufu katoka kuoga lakini bado wapi khaa
  8. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa kwenye familia za kimasikini na wewe mwenyewe masikini tupeni mbinu

    Ukitaka kufanikiwa kuna muda lazima uwe na roho mbaya,stop playing the good guy you don’t owe it to anyone
  9. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Unaifunguaje iPhone inayohitaji Activation Lock?

    Jambo rahisi,ntext dm ntakusaidia
  10. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuendeleeni tu na Hamasa ya kuujaza uwanja ila tayari kwa 90% RS Berkane wanamalizana na Victorien Adebayor

    Snitch[emoji23][emoji23][emoji23]
  11. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia za kupokea mzigo wako ulionunua kwenye mtandao(ebay,alibaba,amazon)

    Kuna jamaa wapo pale dar free market wanaitwa “e-shop” wale ni rahisi sana kukuagizia na kukupokelea mzigo wako wanakutumia popote ulipo tz,chochote utakachoagiza uko ebay wanaleta
  12. lckelvin

    JamiiForums Tanzania Nani wa kulaumiwa: BeFoward au kampuni iliyouza gari?

    Uyu jamaa ni muongo yani kila uzi wa magari ana copy na ku paste comment hii[emoji23]
  13. lckelvin

    JamiiForums Tanzania Udangaji kwa wanachuo umezidi

    Mm nkiombwagwa ela nyingi au kitu cha thamani nafurahigi sana[emoji23][emoji23]Maana naona naonekana nna weza kutoa nlichoombwa
  14. lckelvin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kufanya mambo pamoja yanazidi kupungua

    Poor government support,land alienation,lack of funds,poor infrastructure,lack of education etc
Back
Top Bottom