Recent content by lazinga

  1. lazinga

    JamiiForums Tanzania Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

    Nakumbuka bro ni mwalimu sasa alijichanga akanunua boda akampa mzee mmoja ebwana yule mzee kumbe ana oda zake za kusambaza nyama kutoka Mombasa mikocheni mpaka mbezi miezi 8mzee kamaliza Hela ya bro,kimbembe bro kumbe akipewa Hela anakula na mkewe na hawara wake kesi mpaka polisi mzee kaja na...
  2. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia stori ya kijasusi (PDF).

    Mm mwenyewe nakitafuta sana
  3. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

    😂😂😂
  4. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Nakumbuka 2015 tulienda kisarawe sehemu panaitwa kazimzumbwi kufika kule tukaingia kwenye maubanda kula sana nyagi mixer nyeupe kuja kushtuka saa 7:30 usiku sasa tulikuwa na boda na boda ni mwanangu hao tukaaga ili tusepe tumesogea sogea kufika karibu na daraja flan hivi juu inapitaga treni ya...
  5. lazinga

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    03:38 kismati na fegi ni mwendo wa lindo tu
  6. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ilikuwa ni Martinez v/s kolo muani
  7. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha mwili usojulikana ni wa nani. Hauna jino moja wala kovu lolote

    Hivi ile stori ya yule mama mwalimu iliishia wapi mkuu
  8. lazinga

    JamiiForums Tanzania Bifu maarufu la Shah Rukh Khan na Sunny Deol lililodumu kwa miaka zaidi ya 20 mpaka kuisha kwake mwaka huu, tuna la kujifunza hapa

    Sunny deol kabangi in "Mac dj"voice ila ile picha ilikuwa Kali sana na Kuna picha Moja sunny deol anawekwa kwenye chupa anakuwa kama nyoka anayeikumbuka jina lake please!!!
  9. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye soft copy Riwaya ya Mkimbizi

    Hicho kitabu mm ninacho tena hard copy ukikitaka nicheki tu nitakuachia ukisome
  10. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Maliza stori acha blah blaaah ...[emoji23]
  11. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu nimekuona Kwa jack daniel na huku pia [emoji23] Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
  12. lazinga

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    3:46 night shift na kisungura taratibu
  13. lazinga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unasikiliza wimbo gani ukiwa sad?

    Chozi la yatima -jose mara [emoji24]hii nyimbo nikiisikiaga nakumbuka mbali sana Josee alituliza sana kichwa.
  14. lazinga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

    "The hard times make a true friend afraid to ask for currency But you could run to me when you need and I'll never leave" Hizi line zimenikumbusha mbali sanaa,ila katika hard times watu huwa wanaweza kufanya chochote cz pia hatuna true friends wengi ni snakes na wanasikilizia nini kitakukuta ktk...
  15. lazinga

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    4:01 Men at work
Back
Top Bottom