Kuna kitu kimoja watu wengi na ccm hawajajua.
Ishu hapa sio Lowasa ishu ni ccm kukaa pembeni so Lowasa anatumika kama njia ya kuiweka ccm pembeni.
Jana nlikuta watu wanabishana kuhusu Afya ya Lowasa na wengi katika kundi lile lilikuwa na msimamo kwamba hata wakitangaziwa kafariki asubuhi ya...
Hoja ya Dr. Slaa kuhusu Lowasa kujisafisha ni nzuri sana, tatizo huo Muda wa kujisafisha haupo na kufanya hivyo kutatuchelewesha kufanya mabadiriko.
Tuko na hoja moja ya msingi sana nayo ni kufanya mabadiriko, haijalishi nani anagombea kupitia ukawa hata ingekuwa ni jiwe lisoweza hata kuongea...
Napata shida kuamini habari hii kama kweli alisema hivyo au la, kuna hoja ya Hamad hapo pia anyway siingizi siasa ila uwa ninaamina sana habarizinazoandikwa na mwananchi na kampuni nzima ya mwananchi kwa maana ya magazeti mengine ya kampuni hii na kwa kweli nimejiridhisha kuwa haliko biased kama...
Kuna mama mtaa mmoja anakunywa pombe analewa chakali alafu anawaita vijana wafanye yao ila wapange foleni, sasa watu tunajiuliza kwa nn haisingizie pombe si angekuwa anajilaza tuu hata mchana bila kulewa vijana wenye uitaji wafanye yao mana hicho ndo anachokitaka au angechagua mmoja kati ya wale...
Nazani mgombea urais wa ccm na hizi habar za Lowasa ndo mtihani mkubwa sana CCM hiki, ukiona wanafika hadi wakati hu na mwelekeo wa aliyeko madarakani kutokuwa na picha au ushawishi wa anayemtaka ni ishara mbaya sana.
Tunajisahaulisha kwamba katiba AFRICA uwa haitungwi ki raisi kama wengi tunavyozani,kuna njia tukipitia hiyo tuu ndo tunapata katiba mpya iliyo serious otherwise twajidanganya, tatizo ni watakaolipa gharama ya kupita njia hiyo Mungu atusamehe mana si njia ila waafrika tunaipenda sana.
Mwishowe ukweli utajulikana ila jeshi la polisi lianze kuwa la kisasa especially kwenye mfumo huu wa vyama vingi naona linafanya kazi kwa sytle zile zile za chama kimoja.
> Masele na wenzie waseme kitu tuwaskie na mbivu na mbichi zianze kujulikana sasa
Tukiacha siasa hali ya shule zetu kwa ujumla ni mbaya sana, kuna maeneo hasa ya wafugaji shule wanaona sio ishu si kwamba hawapendi ila mfumo mzima ulivyo.
Nazani sisi sote tunakazi ya kuwa wadau wa maendeleo maeneo tunayotoka ili tusonge mbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.