Nmepitwa ila unawazo zuri kama sheria zingekua zinapitishwa na mtu mmoja tungekukoma.. Kukaa gerezan miaka 30 ni funzo tosha ndugu kalale ata polisi siku tatu utaniambia ndo iwe gerezani
Miaka mitano haijakata tutasubiri kwa imani ila sidhani kama tatizo la umeme litaisha Tanzania. Labda na wakuu wa tanesco wapigwe chini wakajiulize makwao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.