Recent content by lastmanstanding

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nimekubali, Lowassa jembe!

    Dhoruba imetulia, nuru imetamalaki Sasa naishika njia, naja tokea Kowak Ombi ninakuletea, baba naomba nilaki Simama tangaza nia, taifa lakuhitaji Elimu yadidimia, kwa kasi iso kifani Usipotangaza nia, wataizika shimoni Ujinga utarejea, turudishwe utumwani Lowassa tangaza nia, taifa lakuhitaji...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

    Watu kama kibonde na rweyunga walipaswa kufanya kazi redio uhuru na sio huko waliko
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

    Kusaga anakanusha kama vile watu hatuoni, hatusikii na hatutambui vipindi vinavyoendeshwa pale clouds? Kuna tofauti gani kati ya redio uhuru, tbc na clouds ktk kuitumikia ccm? Je, kibonde anavyoitumia kujikomba kwa jk huwa ameuziwa airtime? Au wanakanusha baada ya kuona kibonde amekosa ukuu wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    amedisco mara mbili muccobs akapigiwa kifua na sitta, kinara wa kutukana viongozi wa kitaifa, amewahi kumpiga mzee waryoba. hiyo ndo cv niijuayo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kweli Lowassa tishio, tangaza nia

    Dhoruba imetulia, nuru imetamalaki Sasa naishika njia, naja tokea Kowak Ombi ninakuletea, baba naomba nilaki Simama tangaza nia, taifa lakuhitaji Elimu yadidimia, kwa kasi iso kifani Usipotangaza nia, wataizika shimoni Ujinga utarejea, turudishwe utumwani Lowassa tangaza nia, taifa lakuhitaji...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Dhoruba imetulia, nuru imetamalaki Sasa naishika njia, naja tokea Kowak Ombi ninakuletea, baba naomba nilaki Simama tangaza nia, taifa lakuhitaji Elimu yadidimia, kwa kasi iso kifani Usipotangaza nia, wataizika shimoni Ujinga utarejea, turudishwe utumwani Lowassa tangaza nia, taifa lakuhitaji...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tambua Wizi mpya wa Vodacom Tanzania, Serikali iko kimya

    kwanini uchaguz mkuu ukikaribia ndo voda huleta vitu kama hivi?
  8. L

    JamiiForums Tanzania TRA huu ni zaidi ya unyanyasaji!

    kama we kilaza wa sheria za kodi tulia usilalamike. ungeuliza kisheria nani anapaswa kuwasilisha hiyo 10% TRA kati yako na mwenyenyumba ili usaidiwe. pambafu. sheria inamtaka mpangaji kabla ya kulipa pango akate hiyo percentage na kuiwasilisha TRA. **** kuna shida ni kwenye sheria wala sio TRA...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Max Mondu ni nani? Nitampataje?

    Max mondu ni nani? Nitampataje?Salam wana jf. Nina mpango wa kutangaza nia kupitia jimbo la tarime lkn nilipowadokeza watu wangu wa karibu wakaniambia kuna tetesi kuwa huyo jamaa (max) anatakiwa hapo hasa na vijana toka maeneo ya nyamongo, tarime mjini, nyabasi, bunchali, na sirari. Habari...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Mh. Lema, Mlango uloingilia tuliuacha wazi na sasa waweza toka tu

    Salam wana jf. Nina mpango wa kutangaza nia kupitia jimbo la tarime lkn nilipowadokeza watu wangu wa karibu wakaniambia kuna tetesi kuwa huyo jamaa (max) anatakiwa hapo hasa na vijana toka maeneo ya nyamomgo, tarime mjini, nyabasi, bunchali, na sirari. Habari zinaonesha kuwa amekataa wito huo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaibiwa wake zenu, hamjui tu

    sawa hulka ya mtu ndio chanzo lkn na ubize tuutizame kwa jicho la fundi saa japo hauepukiki siku hizi. mi nimemla mwl. wangu kwani kila siku ananilalamikia mume yuko bize balaa. mi nikajiongeza na kujiuliza lengo la mi kupewa malalamiko haya ni nini? basi nikaamua kumsaidia mwl. wangu. alifurahi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

    sawa, Mungu kasikia ombi lako. baada ya disemba unakufa!:A S 103:
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa haraka

    hata nanihino akae mwaka bila ku do??!
Back
Top Bottom