wanahangaika kujustify a mental situation
sometimes you just have to accept kwamba mbayuwayu wamekamata fursa ya kushadadia ujuha wao
Msiogope kufanya mambo ya maendeleo kwa sababu ya kuogopa kuchapiwa. Mwanamke unaweza kuwa nae 24/7, 365 days a year, lakini kama ana hulka ya kuchepuka huwezi mzuia. Mbona kuna wengi tu wanaojitambua!!!.
Kuchapiwa ni hulka bana ni sawa na bata hata umpe kokoto ataharisha tu
sawa hulka ya mtu ndio chanzo lkn na ubize tuutizame kwa jicho la fundi saa japo hauepukiki siku hizi. mi nimemla mwl. wangu kwani kila siku ananilalamikia mume yuko bize balaa. mi nikajiongeza na kujiuliza lengo la mi kupewa malalamiko haya ni nini? basi nikaamua kumsaidia mwl. wangu. alifurahi sana na akili ilitulia akaendelea kutuchapa lecture otherwise hata kazi ingemshinda!
Dunh. . . .
Mbona duh kubwa hivo
Hiyo maneno ulivyoiweka nimeabaki kati ya kufurahia ukweli na kushangaa. . . . . .yaani kama tungekuwa hoteli ningesema tu muhudumu hiyo bili weka kwangu!!!
Amini hauchapiwi hadi siku utakapomfuma.