Recent content by last dance

  1. last dance

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Lazima kupoza mwili gari yenyewe inarejeta we unazan mchezo kukimbia kilomita 7 halafu usinywe maji utakuwa abnormal
  2. last dance

    JamiiForums Tanzania Mlonganzila ni hospitali au chumba cha maiti?

    Kama wataalamu wa afya hawana ajira mtaan huko mahospitalin watakao okoa maisha kinanan kama sio siasa tu
  3. last dance

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusipomuunga mkono Rais Magufuli tutakuja kulia kwa kusaga meno kama walibya

    Watu wengine mnakosa vya kuandika .muunge mkono mwenyewe et Libya utaufananisha na tanzagiza hili
  4. last dance

    JamiiForums Tanzania Hackers wafanya yao website ya UDSM

    Ukisikia mbwa anamng'ata boss wake ndo hapo ila hawana makosa kwasabbu wananjaa na njia pekee ndo hiyo ya kushiba
  5. last dance

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

    Tears of the sun 2007 Doctor strange The Bourne series The A team Longshot Something God made
  6. last dance

    JamiiForums Tanzania Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Kwan tundu lissu alijuaje sakata la ndege Sent using Jamii Forums mobile app
  7. last dance

    JamiiForums Tanzania Tunakushukuru Mh. Rais Umefanya Maisha yamekuwa mazuri sana kwa sasa.Yamekuwa Bora

    HahaH viwanda vinakuja subirin mpaka waalimu wataingia viwandani kufundisha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. last dance

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Duh tanzagiza Sasa kesi ya uchochezi mnaenda kusearch nn kwake au mlienda kusearch maneno yake kabatin Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
  9. last dance

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Siasa hizo hajapatanisha kwa staili hiyo. Huyu magufuli bhna Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
  10. last dance

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Madai ya CHADEMA kwamba hakuna Viwanda Vipya awamu hii, imesajili viwanda 2,536

    Wew umeona hata kiwanda kimoja au mnahangaishwa na taarifa za ikulu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. last dance

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Zimwi likujualo Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
  12. last dance

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akamatwa akiwa uwanja wa ndege wa Dar akielekea Kigali

    Duh hii serikali inakamata hovyo. Shikamooo tanzania Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
  13. last dance

    JamiiForums Tanzania Kwa hili wanaume huwa siwaelewi

    Tunalitafutia settings kama dishi Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom