Mabinti wakibongo vichwa ngumu wanajua kabisa kuwa makafiri hata dini walileta ili wajisafishe wanaonekane kama wazuri lakini wap. How could pay people to kill uninnocent soul,this will not forgiven
Tulienda kwa chief lakini akasema yeye ajaletewa karatasi ya kusigh kuhusu leave salary zetu,mhasibu akaitwa kueleza kwanini hatujaripwa akajibu atalipa mwezi febr
kinyume na ratiba,tunaingia mikataba mipya,amalize malipo ya mwaka jana,watu pesa zimeisha kwenye sikukuu tumefuria mbaya.
Tunadai leave salary lakini mhasibu anatupiga danadana sasa hatumhelewi,tulitakiwa kulipwa mwezi january angalau tareh 5 lakini ataki kulipa anasema mwezi wa pili ndio atatulipa,anatunyanya waswahili kama nchi yao.this not fair untorelated.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.