Upo zako club...

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Upo club unadance peke yako mdogomdogo..

Mara gafla kademu kanakusogelea kanakuangalia kanatabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kanakunong'oneza kwa skio yako "nipe elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende kulala nawewe" mwanaume huna kitu kwa M pesa wala tigopesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima....

Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila......After 2mins kanarudi na power bank
 
Kwa hiyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom