Recent content by laplusbelle15

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufanya kosa huku ukijua ni kosa

    He is a killer like any other killer
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio story ya mchepuko wangu baada ya mke wangu kunisamehe

    When a woman 'loves' a man
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui atamwambia wife?

    Masikini, hadi nyumba yako mwenyewe unaiogopa, muulize GALADUDU mzoefu wa mambo hayo
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani amepandishwa cheo, cha moto nakiona,natumwa kama mtoto

    You never know to what extents a person who is hurt can go, if one has no forgiving heart. You humiliated her when u left her and took another woman in the same office, your reasons could be true and vise versa, man, you have to deal with her.hakuna ambae angechukulia poa hayo mageuzi yenu, try...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamka tu nakutana na tangazo hili kutoka kwa wife

    Ungetulia usingelihangaika na kila aina ya mademu na saa hizi usingekuwa na wasiwasi wa majibu
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamka tu nakutana na tangazo hili kutoka kwa wife

    Ila wee mkaka hujatulia, utamuua mkeo kwa ukimwi, na yule mke wa mwendesha bodaboda mnyarwanda? Wako pia! Inatisha
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amepata stroke baada ya kunifuma na mke wake roho inaniuma sana

    Don't tell the wife, ataumia sana
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke na mchepuko wamenishinda nataka kuwakimbia, maji yamenifika shingoni

    DON'T U EVER RUN FROM THE KIDS.be a husband to your wife and transparent to your Mtanga, aelewe kuwa hali imebadilika kifedha, aamue kuendelea nawe au akatafute tajiri mwingine
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kuvutiwa sauti ya mtu kwenye simu

    He he he kazi kweli kweli, wanaume mnayo kazi!
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempata Mbaya Wangu After 10 Years, Najishauri Nimfanyaje?

    Lara, Zanaki girl
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuufahamu mchepuko huu

    Jamani nyie Wanaume! Mke kuumwa kidogo tuu tayar ticket ya kuchepuka
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti mmoja katia doa ndoa yangu

    Usimwambie mkeo,utamuumiza, kata mguu huko kwa mbondei
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyo sio size yako, Itakupwelepweta bureee! Kuku wa Kizungu Mchinjaji hana kazi, yamcost

    Lara I salute you, una hoja na sijui huwa unawazaga nini mpaka kuandika yote haya.however bigup, i always read your posts n enjoy them. Back to the point, what u have discussed hapa leo ni muhimu sana kwa kaka zetu kuwa makini, ila mjue kuna wazazi wengine huwa wanawapush watoto wao wakaoe ktk...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengine hawajui kusamehe

    Mhh kwanza kumpata mwanaume anaeomba msamaha ni nadra siku hizi, angemsamehe look now!
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi kanichunia

    Kuna siku utakaa na kuufeel uzito na ukatili mliofanya, mtaumia na kukosa aman.sio ujanja wala akili
Back
Top Bottom