Mpenzi kanichunia

Mpenzi kanichunia

Emu piga gharama ya abortion na gharama ya kulea mtoto..alafu ndo utaelewa umuhimu wa abortion
em piga gharama ya condom na ku`abort then future risks kwa starehe ya dakika zisizo zidi 365... kama kweli unajua cost effective and opportunity cost.
 
avatar91831_2.gif

Mmhh!!!
 
Habari wakuu.

Mpenzi wangu wa collage juzi alinijia huku akilia kwa uchungu na kuniambia "nimetumia pesa yangu yote ya matumizi katika abortion na sasa sina pesa".

Kwa mahaba nikamfuta machozi mpenzi wangu na kumwambia"Mpenzi wangu hata usijali kabisa,abortion inayofuata ntalipa mimi" Sasa wakuu toka siku hiyo kanichunia mpaka leo, mimi kosa langu nini hapo.

hivi unajua ulicho kiandika?
 
Yani nimejikuta nacheka tuu. Yani mnapeana zamu ya kutoa Mimba nyie hatarii kuna watu wanakuwa maskini kwa garama za kutafuta mtoto nyie mnapeana zamu kweli Mungu anahuruma sana.
 
nimecheka sana hilo jibu, kiukweli hujisomi mkuu na naomba asikusamehe kamwe.
 
Habari wakuu.

Mpenzi wangu wa collage juzi alinijia huku akilia kwa uchungu na kuniambia "nimetumia pesa yangu yote ya matumizi katika abortion na sasa sina pesa".

Kwa mahaba nikamfuta machozi mpenzi wangu na kumwambia"Mpenzi wangu hata usijali kabisa,abortion inayofuata ntalipa mimi" Sasa wakuu toka siku hiyo kanichunia mpaka leo, mimi kosa langu nini hapo.

I hate people wanaofanya abortion,...sipendi hata kulichangia hili suara!...
 
I hate people wanaofanya abortion,...sipendi hata kulichangia hili suara!...

Bora abortion au bora watoto wasiokua na malezi bora na kuishia kuharibika maisha yao..bora kipi?
 
Acha kuharibu jukwaa wewe hapa sio Facebook.Unaandika vitu vya kutunga tunga hapa hatufuati comment na Like tunashauriana
 
Bora abortion au bora watoto wasiokua na malezi bora na kuishia kuharibika maisha yao..bora kipi?
...kwa hiyo wewe kwako kuua ni jambo la kawaida au siyo,..ungefanyiwa abortion wewe ungekuwa hai hadi leo?,..please don't entertain huo unyama....
 
Kuna siku utakaa na kuufeel uzito na ukatili mliofanya, mtaumia na kukosa aman.sio ujanja wala akili
 
Siamini km akili yk ipo sawa mkuu,tatizo la shule za kata(lowassa)
 
Back
Top Bottom