Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 811
- 1,312
Nipo kwenye mizunguko yangu ya kila siku ya kutafuta pesa, napokea simu ya baba mzazi akiniomba msaada wa sh. 5,000,000 ( 5mil Tsh) ili aweze kusolve mambo yake ya kibiashara. Naona sio mbaya kwa kuwa nina joint venture na baba naamua kumsaidia, natoka ofisini naingia bank fulani hivi moja kwa moja mpaka kwa cashier, nakutana na mdada mmoja mrembo haswaaa kwa sura (maana nilikuwa namuona uso tu).
Kwa kuwa nilikuwa na haraka sikutilia maanani. Samahani dada naomba niwithdraw 5mil kwenye account yangu, ananijibu kwa dharau bila kuniangalia usoni, nenda kwenye ATM katoe risiti ya salio kwanza halafu ndo uje hapa maana network inasumbua.
Naona sio kesi, naingia kwenye ATM namletea risiti ya salio. Anastuka, ananiangalia usoni. Ananiuliza, samahani kaka hii account ni yako? Namjibu, yeah na kitambulisho changu hiki hapa.
Anapokea kitambulisho huku akinitolea tabasamu, anaanza kuniongelesha huku akiendelea kunihudumia. Mmh hongera kaka inaonekana mambo yako sio mabaya… Nikamjibu, asante dada kidogo kidogo ivo ivo tunajikongoja… Acha masihara bwanaa, zote hizi unasema unajikongoja? Mkeo ana bahati sana. Namjibu, yoteni mipango ya Mungu tu,maana bado hajawa mke wangu rasmi, ndo tupo kwenye mishemishe za ndoa…
Ananiangalia usoni kwa furaha na tabasamu sana….waaow!!,hongera sana kwa hatua hiyo, kama hutojali naomba nikusaidie kwenye mambo ya mapambo na catering kwenye hiyo harusi yako, dada yangu anajihusisha na mambo hayo na ana kampuni kubwa tuu..
Kwangu sikuona shida yoyote, tena nikashukuru kupata connection ya kufanikisha jambo hilo. Akanambia, ntaandika namba yangu nyuma ya risiti yako. Nikasema fine.. akamaliza kunihudumia nikaondoka.
Baada ya siku 3 nikampigia akaniomba nikutane nae wikend ili tuongee zaidi. Sikuona tatizo tukapanga appointment. Siku ya siku tunakutana, nikatahamaki sana baada ya kumuona fullbody, kiukweli ni mzuri haswaaa, hakuna alichokosa, real sexy body, nikajikaza ilinisionyeshe udhaifu kwakuwa sikuingiwa na moyo wowote wa kishetani..
Saa moja usiku dinner inaendelea na mazungumzo pia, mazungumzo yote yalikuwa ndani ya topic, hatukuenda nje ya topic hata kidogo. Dinner ikaisha tukawa tunashushia drinks. Akawa anakunywa wine xxx(haina kilevi), mi nakunywa redbull ,mpaka saa tano usiku tunaagana naamua kumpa lifti mpaka kwake kwakuwa hakuwa na usafiri.
Nje ya geti la nyumbani kwake, nashuka ndani ya gari natoka nje, namfungulia mlango na yeye anashuka, namuaga goodnight, anajibu goodnight too. Anaamua kunikumbatia………
Hapo ndo tatizo lilipoanzia. ,I swear narudia tena, I swear sikumbuki when and how mdomo wake ulitua ndani ya kinywa changu. Nilisismka coz she waz cute, akaweza kunicontrol zaidi pale aliposogea close to me (zero distance) while we kissed…
Oooh God I regret yaliyoendelea baada ya hapo ,kifupi ni kwambaaaaa….. we did it, yees we did it the whole night. Honest sijawah kwenda round nyingi kama nilizoenda usiku huo. She was sweet, alikuwa mtundu mnoo…
Kesho yake nilijuta sana baada ya tukio hilo. .. Yeeeees, hiyo ndo story ya mchepuko wangu, baada ya mke wangu kugundua niliamua kumuadithia ukweli mwanzo hadi mwisho. Haikuwa rahisi kunielewa. Namshukuru Mungu alimpa wepesi na sasa mke wangu amenisamehe na nafurahia maisha ya ndoa.
Hebu share na wewe historia ya mchepuko wako ilikuajeeee???