Recent content by landlords

  1. L

    USHAURI; Nifanyeje ili kuweza kufaulu Oral Interview

    de solver, post: 24259887, member: 415752"]Haha Sasa mkuu ukijiamin afu unaongea broken English si Wana ku disqualify ,how you say matter than what you say, kwenye interview ukiongea kwa ujasiri hata kama umekosea hawakutupi
  2. L

    Niliomba kazi Bank, halafu nimeitwa na hawa Kp recruiters au Kaparama recruiters ila Wanataka hela kabla ya Interview

    Kimbia haraka sana hakuna kazi hapo hiyo hela nunua bando uanze apply kazi sehemu nyingine tofauti
  3. L

    Kwa watalamu wa Ku design package

    Cello nahisi hua wanatengeneza package
  4. L

    Jinsi ya kusajili Power of Attorney

    Mi juzi tu hapa mwasheria kaidraft kapiga mhuri basi nikaondoka nayo au zinatofautiana yangu ilikua kwa ajiri ya tender document
  5. L

    Japo ni kweli utapeli upo ila jiongeze pale unapoona tangazo la kazi

    Yah! Lakini kuna matangazo ya kubandikwa yale watu wanaibiwa sana huwa wanayatumia sana mashirika ya Fast jet na Cameil oil uongo mtupu kuna jamaa angu alitoa laki kizembe wakamla
  6. L

    Bado tuna nafasi ya kazi kwa Finance and Accounts Manager

    Atapataiant, post: 23876461, member: 378417"]Uwepo wa `your' kwenye sentensi ya mwisho kunatosha kabisa kuku-disqualify endapo mwajiri ni mtu makini. Atapata tu maana hatafuti kufundisha English
Back
Top Bottom