Bado tuna nafasi ya kazi kwa Finance and Accounts Manager

MarkD

Member
Jan 10, 2012
61
28
Habari,
Kwa tangazo letu la nafasi za kazi lilitoka wiki chache zilizopita tumepata nafasi nyinginezo zilizotangazwa ila bado nafasi ya Manager Finance and Administration (MFA). Wenye sifa tumeni CV kupitia microfmd@yahoo.com. Sifa lazima mhusika awe amesoma Accounts na awe anaweza kuandaa financial statements na kazi nyinginezo za uhasibu.

Aidha, kumekuwa na baadhi ya watu wana comment kuwa sisi ni "MATAPELI", shida kubwa vijana wengi kuna hali ya uvivu wa kutokujituma kufanya kazi wakati huohuo unahitaji maslahi makubwa. Kufanya kazi kampuni binafsi kunahitaji uvumilivu, ubunifu na kujituma. Kiukweli huwa natimua mara moja mfanyakazi mvivu na asiyefuata taratibu za kazi. Kwa uhalali wetu tafadhali tembelea maamlaka za usajiri na usimamizi wa biashara tunazofanya kama vile BRELA, TRA, TCDC, Manispaa ya Kinondoni.

AU tembelea ofisi zetu zipo jengo la IBACON HOUSE- Ghorofa ya 3 Ofisi no. 148 Kinondoni B Barabara ya kuelekea Mahakama ya Kinondoni.
Imetolewa na Bw. Staphord Kwanama, Mkurugenzi Mkuu, MICROF COMPANY LIMITED 0712 066 064/ 0753 125474
 
Mm nmesomea BBA in Marketing nina uzoefu wa sales and Marketing wa miaka 2 kama pakitoke chance nipo tyr 0656975707,mziyakhan1990@gmail.com
Ally Mziya
 
Habari,
Kwa tangazo letu la nafasi za kazi lilitoka wiki chache zilizopita tumepata nafasi nyinginezo zilizotangazwa ila bado nafasi ya Manager Finance and Administration (MFA). Wenye sifa tumeni CV kupitia microfmd@yahoo.com. Sifa lazima mhusika awe amesoma Accounts na awe anaweza kuandaa financial statements na kazi nyinginezo za uhasibu.

Aidha, kumekuwa na baadhi ya watu wana comment kuwa sisi ni "MATAPELI", shida kubwa vijana wengi kuna hali ya uvivu wa kutokujituma kufanya kazi wakati huohuo unahitaji maslahi makubwa. Kufanya kazi kampuni binafsi kunahitaji uvumilivu, ubunifu na kujituma. Kiukweli huwa natimua mara moja mfanyakazi mvivu na asiyefuata taratibu za kazi. Kwa uhalali wetu tafadhali tembelea maamlaka za usajiri na usimamizi wa biashara tunazofanya kama vile BRELA, TRA, TCDC, Manispaa ya Kinondoni.

AU tembelea ofisi zetu zipo jengo la IBACON HOUSE- Ghorofa ya 3 Ofisi no. 148 Kinondoni B Barabara ya kuelekea Mahakama ya Kinondoni.
Imetolewa na Bw. Staphord Kwanama, Mkurugenzi Mkuu, MICROF COMPANY LIMITED 0712 066 064/ 0753 125474

Naweza kufanya ila part time because I believe yours does not have a lot of transactions to warranty a full time fully qualified Manager who is well experienced and has a lot of skills

Part time will save you cost as well as meet your objectives.

If your ready lets discuss privately
 
Naweza kufanya ila part time because I yeve yours does not have a lot of transactions to warranty a full time fully qualified Manager who is well experienced and has a lot of skills

Part time will save you cost as well as meet your objectives.

If your ready lets discuss privately
Uwepo wa `your' kwenye sentensi ya mwisho kunatosha kabisa kuku-disqualify endapo mwajiri ni mtu makini.
 
Naweza kufanya ila part time because I believe yours does not have a lot of transactions to warranty a full time fully qualified Manager who is well experienced and has a lot of skills

Part time will save you cost as well as meet your objectives.

If your ready lets discuss privately

Hii Lugha inatisha sana kusema kweli, sio dhambi tuki Enzi Kiswahili chetu
 
Kama anatafuta makosa katika maandiko na sio mtu sahihi katika kazi yake kama unavofanya wewe hapo sawa!!
Kama unashindwa Kuwa sahihi kwenye vitu vidogo tu vya kujieleza kiufasaha kwenye mambo makubwa kama ya mizania utakuwa unabolonga sana.
Halafu kajifunze matumizi ya maneno ya kiingereza YOU, YOUR , YOURS.
Mtu kaandika andiko zuri kwa lugha ya kiswahili, wewe unakuja na broken english yako,
 
Usiwe na kasi ya kuhukumu sana bila kujiangalia wewe mwenyewe usafi au usahihi wako
 
Habari,
Kwa tangazo letu la nafasi za kazi lilitoka wiki chache zilizopita tumepata nafasi nyinginezo zilizotangazwa ila bado nafasi ya Manager Finance and Administration (MFA). Wenye sifa tumeni CV kupitia microfmd@yahoo.com. Sifa lazima mhusika awe amesoma Accounts na awe anaweza kuandaa financial statements na kazi nyinginezo za uhasibu.

Aidha, kumekuwa na baadhi ya watu wana comment kuwa sisi ni "MATAPELI", shida kubwa vijana wengi kuna hali ya uvivu wa kutokujituma kufanya kazi wakati huohuo unahitaji maslahi makubwa. Kufanya kazi kampuni binafsi kunahitaji uvumilivu, ubunifu na kujituma. Kiukweli huwa natimua mara moja mfanyakazi mvivu na asiyefuata taratibu za kazi. Kwa uhalali wetu tafadhali tembelea maamlaka za usajiri na usimamizi wa biashara tunazofanya kama vile BRELA, TRA, TCDC, Manispaa ya Kinondoni.

AU tembelea ofisi zetu zipo jengo la IBACON HOUSE- Ghorofa ya 3 Ofisi no. 148 Kinondoni B Barabara ya kuelekea Mahakama ya Kinondoni.
Imetolewa na Bw. Staphord Kwanama, Mkurugenzi Mkuu, MICROF COMPANY LIMITED 0712 066 064/ 0753 125474
Mimi nimesomea Degree ya Procurement and Supplies management na nina uzoefu wa miaka miwil Kama itatokea nafas hiyo mnisaidie email yangu ni tunuhamadi@yahoo.com
 
Naweza kufanya ila part time because I believe yours does not have a lot of transactions to warranty a full time fully qualified Manager who is well experienced and has a lot of skills

Part time will save you cost as well as meet your objectives.

If your ready lets discuss privately

Hivi hapa anayetoa nafasi za kazi ni yeye ama wewe?
Yani ume-sound kama wewe ndio unayetoa kazi sasa

Nimecheka!!
 
Jifunze kujiamini mimi natoa huduma,yeye ananunua huduma kutoka kwangu kwa hio kila mtu anamuhutaji mwenzie.
 
Kama unashindwa Kuwa sahihi kwenye vitu vidogo tu vya kujieleza kiufasaha kwenye mambo makubwa kama ya mizania utakuwa unabolonga sana.
Halafu kajifunze matumizi ya maneno ya kiingereza YOU, YOUR , YOURS.
Mtu kaandika andiko zuri kwa lugha ya kiswahili, wewe unakuja na broken english yako,
:D:D:D
 
Atapataiant, post: 23876461, member: 378417"]Uwepo wa `your' kwenye sentensi ya mwisho kunatosha kabisa kuku-disqualify endapo mwajiri ni mtu makini.[/QUOTE]
Atapata tu maana hatafuti kufundisha English
 
Back
Top Bottom