Jinsi ya kusajili Power of Attorney

marwarwa

Senior Member
May 3, 2016
104
43
Msaada Jamani naomba kueleweshwa kwa anayefahamu jinsi ya kusajili Power of Attorney.
 
Unaisajili kivipi? We mpelekee loya aigonge muhuri, then may be utahitaji kuipeleka TRA ibandikwe 'stamp duty'
 
Nasikia baada ya kupigwa muhuri na mwanasheria unaipeleka kwa Register of titles sasa nilikua nataka nijue kua ni process gani zinafanyika.
 
Nasikia baada ya kupigwa muhuri na mwanasheria unaipeleka kwa Register of titles sasa nilikua nataka nijue kua ni process gani zinafanyika.
We ukishaigonga muhuri nenda land office watakupa taratibu zote
 
Mi juzi tu hapa mwasheria kaidraft kapiga mhuri basi nikaondoka nayo au zinatofautiana yangu ilikua kwa ajiri ya tender document
Za muda,

Leo nimetoka kuonana na wakili mmoja na kunielekeza jinsi ya kuwa na Power of Attorney iliyo halali; Wakili akishai-draft na kuigonga muhuri, anatakiwa kuandaa "Application for Filling Power of Attorney" ambayo utaipeleka Wizara ya Ardhi kwaajili ya kuisajili.
 
Back
Top Bottom