Niliomba kazi Bank, halafu nimeitwa na hawa Kp recruiters au Kaparama recruiters ila Wanataka hela kabla ya Interview

Namashaka na huyo jamaa anaemuambia atume, labda ni mmoja kati ya wale matapeli
Mimi sio tapeli ndugu na nisameheni sana ila niwajuavyo hawa jamaa sio matapeli coz nishawahi fanya interview kwao.

Siwapigii promo ila wako makini na kama wanafanya hivyo nikama kushare running cost kama ambavyo Empower wanafanya, ila empower unalipia ukifika na risiti unapewa so hata hawa naamini watakua wanatoa risiti online
 
Mbaya zaidi sina kazi kwa sasa yani nachekecha akili inagoma. Ninge kua na mchongo ninge watupilia mbali...
Kumbe jibu unalo...sasa ushauri unatafuta wa nini mkuu?. Hapa jukwaani wengi watakushauri usitume pesa maana matapeli ni wengi mno na hutumia kigezo cha jina linalofahamika.
Funga thread kwasababu una majibu yako kichwani, ushauri wa hapa hautakusaidia kihivyo!!
 
Mbaya zaidi sina kazi kwa sasa yani nachekecha akili inagoma. Ninge kua na mchongo ninge watupilia mbali...

si uende mpk ofcn kwao...au hupajui nkuelekezw!!? me nlishawah kwnda nikafanyiwa interview na muanzilish wa iyo kampuni lkn sikutoa pesa na wala sikuombwa...
 
Nime itwa na hawa jamaa kwa jina la Kp recruiters, kuna kazi niliomba Bank flani nadhani hawa Kp wao wana husika naku recruit wafanyakazi kisha kuwa kabidhi wafanyakazi hao kwenye makampuni mbalimbali.

Awali kabla ya kwenda kwenye interview nime ombea nitumie elfu 10 ( refundable kama ntafika kwenye interview na non- refundable kama sita fika).
Kwa Financial Manager _Jina wame nipa na Namba yake ya simu ambapo pesa ina takiwa kutumwa.

Nikisha tuma hela ntatumiwa form itakayo kua na maelekezo kadha wa kadha.

Mwenye kuni ushauri wowote kwa anae wafahamu hawa jamaa..

Japo sipendi sana hizi kazi zaku anza kuombana hela hata kama ni ndogo.

Asanteni. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa!

Service za kp recruiters ni bure kabisa. Pole sana, Huyo ni tapeli mkuu (That job post is a scam).
Nafasi za kazi za kp recruiters huwekwa kwenye website yetu ambayo ni: KP Recruiters
Pia baadhi ya job portal kama Zoom Tanzania, leoleoplus na nyinginezo huchukua na kuweka nafasi hizo kwenye website zao. Kuhakikisha usahihi wa tangazo lolote la kazi la mtandaoni ni muhimu ukafanya yafuatayo:-
  1. Usitoe fedha zako. Nafasi ya kazi inayokutaka kutuma fedha kabla ili uchaguliwe ina uwezekano mkubwa wa kuwa ni uongo.
  2. Jaribu kufanya utafiti mfupi kuhusu kampuni husika kabla ya kutuma maombi au taarifa zako. Unaweza hata kutumia google ku search details za kampuni husika ili kufananisha na ulizotumiwa.
  3. Matumizi ya akaunti za barua pepe za bure. Tangazo la kazi linalokutaka kutuma taarifa zako kenye email za free (Public domains) kama yahoo, gmail, live etc. huwa na uwezekano mkubwa yakuwa ni uongo. Kampuni hutumia corporate email accounts zao (kwa Kp recruiters tumia cv@kprecruiters.co.tz)
  4. Tovuti za uongo. Angalia website ilowekwa tangazo la kaza husika kama inauhusiana na kampuni husika au ni website ya kuaminika.
Tutafute kwenye email yetu ambayo ni admin@kprecruiters.co.tz tusaidiane kutokomeza wahalifu wa namna hii.
Ahsante.
 
Mkuu shukrani sana umeeleza vizuri sana na kwa uwazi... nadhani walio faidika si mimi tu na wengine watakao kumbana na mchezo wa namna hio. Shukrani sana!

Hela sija tuma , nime watupilia mbali....
 
Nime itwa na hawa jamaa kwa jina la Kp recruiters, kuna kazi niliomba Bank flani nadhani hawa Kp wao wana husika naku recruit wafanyakazi kisha kuwa kabidhi wafanyakazi hao kwenye makampuni mbalimbali.

Awali kabla ya kwenda kwenye interview nime ombea nitumie elfu 10 ( refundable kama ntafika kwenye interview na non- refundable kama sita fika).
Kwa Financial Manager _Jina wame nipa na Namba yake ya simu ambapo pesa ina takiwa kutumwa.

Nikisha tuma hela ntatumiwa form itakayo kua na maelekezo kadha wa kadha.

Mwenye kuni ushauri wowote kwa anae wafahamu hawa jamaa..

Japo sipendi sana hizi kazi zaku anza kuombana hela hata kama ni ndogo.

Asanteni. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa!
Kimbia haraka sana hakuna kazi hapo hiyo hela nunua bando uanze apply kazi sehemu nyingine tofauti
 
Nime itwa na hawa jamaa kwa jina la Kp recruiters, kuna kazi niliomba Bank flani nadhani hawa Kp wao wana husika naku recruit wafanyakazi kisha kuwa kabidhi wafanyakazi hao kwenye makampuni mbalimbali.

Awali kabla ya kwenda kwenye interview nime ombea nitumie elfu 10 ( refundable kama ntafika kwenye interview na non- refundable kama sita fika).
Kwa Financial Manager _Jina wame nipa na Namba yake ya simu ambapo pesa ina takiwa kutumwa.

Nikisha tuma hela ntatumiwa form itakayo kua na maelekezo kadha wa kadha.

Mwenye kuni ushauri wowote kwa anae wafahamu hawa jamaa..

Japo sipendi sana hizi kazi zaku anza kuombana hela hata kama ni ndogo.

Asanteni. Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa!
Mkuu utapeli huoa cha kabisa ...hata mm kitu hiyo imenikuta kwa hawa jmaa wanajiita Carrier Consulitancy ni matapel ukipga namb a yao hawapokei epuka saaana
 
kama tear aid africa wanakutumia consultant company za kitapeli,epuka hawa wakenya ni matapeli sana,mpaka website wametengeneza
...
 
Back
Top Bottom