mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 396
mkuu unatapeliwa yaan bila chenga hapo
NI MATAPELI HAO.HICHO NI KIWANDA KIPYA KIMEFUNGULIWA.TANZANIA YA VI-WONDER INAWEZEKANA NA HIO NI FURSA WAMECHANGAMKIA WENZAKOHabar wasaka tonge wenzangu .kama somo linavyojieleza, nliomba kaz kwenye kampuni moja kubwa hapa nchini kuptia kwa wakala wa ajiri( recruiters agents) sasa wameniita kwenye usail ila wametaka nitume kiasi cha shilling 10, O00/= ili nijaze wanitumie fom na kuahid watanirudishia pind nitakapo hudhuria ...Je ni kweli au ni matapeli? Nawasilisha.
MAntiki yao ni nini, hamna mantiki hapo, huo ni utapeli plus plusHabar wasaka tonge wenzangu .kama somo linavyojieleza, nliomba kaz kwenye kampuni moja kubwa hapa nchini kuptia kwa wakala wa ajiri( recruiters agents) sasa wameniita kwenye usail ila wametaka nitume kiasi cha shilling 10, O00/= ili nijaze wanitumie fom na kuahid watanirudishia pind nitakapo hudhuria ...Je ni kweli au ni matapeli? Nawasilisha.
Haahaaa ipoo sasaTuma hiyo hela uone kifuatacho itv
Elf 10 si balimi nne?
Wezi hao mkuu! Na hakika taarifa hyo wamekupa kwa email au sms. Ukishatuma tu, baada ya muda utaambiwa usaili umeahirishwa mpaka mtakapojuzwa tena.Habar wasaka tonge wenzangu .kama somo linavyojieleza, nliomba kaz kwenye kampuni moja kubwa hapa nchini kuptia kwa wakala wa ajiri( recruiters agents) sasa wameniita kwenye usail ila wametaka nitume kiasi cha shilling 10, O00/= ili nijaze wanitumie fom na kuahid watanirudishia pind nitakapo hudhuria ...Je ni kweli au ni matapeli? Nawasilisha.