Nafasi ya kazi mhasibu/accountant

sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
203
260
Habari wana jamiiforums ,kampuni ya Afrika loan AfrikaLoan ipo mbioni kuanzisha tawi hapa Dar es salaam.Ni kampuni inayojihusisha na kutoa mikopo kwenye simu za mkononi ,kama ilivyo Lpesa,Branch n.k.Anahitajika accountant ambaye atashughulikia majukumu hapa Dar es salaam.Min Experience 4yrs.
Majukumu kama
1.Accounting
2.Taxation
3.Regular reports to BoT/Ministry of finance.

Mshahara ni kati ya 800000-1600000

Tuma CV yako kupitia Lyapinms@gmail.com

Wenye elimu kuhusu accounting fursa hiyo

Kwa maelezo zaidi tumia +255765696086
N.B mtu yoyote atakayekutaka ulipe pesa kuapply ujue umetapeliwa/application ni bure kabisa na email hiyo ni ya makoa makuu moja kwa moja.
 
Maombi ya watu bado yanahitajika,mwisho wa mwezi ujao tunatarajia kampuni hiyo ianze kazi zake rasmi hapa Tanzania. Share kwa watu wengine wapate ajira.
 
Habari wana jamiiforums ,kampuni ya Afrika loan AfrikaLoan ipo mbioni kuanzisha tawi hapa Dar es salaam.Ni kampuni inayojihusisha na kutoa mikopo kwenye simu za mkononi ,kama ilivyo Lpesa,Branch n.k.Anahitajika accountant ambaye atashughulikia majukumu hapa Dar es salaam.Min Experience 4yrs.
Majukumu kama
1.Accounting
2.Taxation
3.Regular reports to BoT/Ministry of finance.

Mshahara ni kati ya 800000-1600000

Tuma CV yako kupitia Lyapinms@gmail.com

Wenye elimu kuhusu accounting fursa hiyo

Kwa maelezo zaidi tumia +255765696086
N.B mtu yoyote atakayekutaka ulipe pesa kuapply ujue umetapeliwa/application ni bure kabisa na email hiyo ni ya makoa makuu moja kwa moja.
Ahsante
 
Nimepokea update ya tangazo, kwenye experience imekuwa 3+ yrs

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Hello! Afrikaloan is international online microfinance company. We have offices in Russia, Mexica and Kenya. We want to start online lending business in Tanzania in December. We are hiring an accountant for Tanzanian branch.

Main tasks:
-accounting;
-taxation;
-regular reports to Central Bank of Tanzania and Ministry of trade (because it's financial business).

This is remote job - if you want you can work from your home, but only in Dar es Salaam.

Requirements:

Experience 3+ years. Do you have experience in finanical business? That's a plus!

Salary: from 800 000 TZS to 1 600 000 TZS

..........................................................................................................................
Tuma CV yako kupitia Lyapinms@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom