Recent content by Landei

  1. Landei

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Zimbabwe Emerson D. Mnangagwa aapishwa, aahidi amani, kutoa ajira na kukuza uchumi

    Mh.Emmerson Mnangagwa ameapishwa leo kama rais mpya wa Zimbabwe ili kumalizia miaka 37 ya utawala wa Robert Mugabe aliyejiuzulu hivi majuzi. Wananchi wengi walijitokeza wakiwa na shamra shamra ,nderemo,na kelele huko uwanjani na mitaani pia hasa baada ya Rais Emmerson kumaliza kiapo. Swali;Je...
  2. Landei

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi DARUSO wana UDSM mjitafakari

    Nafikiri ipo haja kwa vijana hao kujiunga kwa pamoja na kusimama kwa lengo la kuweka maslahi ya Wanachuo kwa ujumla na si vinginevyo.
  3. Landei

    JamiiForums Tanzania Thuli Mandonsela atangazwa mshindi wa tuzo ya Forbes Africa Person of The Year (POY2016)

    JPM AANGUSHWA TUZO ZA FORBES (POY) 2016. By Malisa GJ, Rais John Pombe Magufuli ameangushwa katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo za Forbes Person of the Year 2016. Mshindi wa tuzo hizo aliyetangazwa usiku huu ni Bi.Thuli Madonsela, Mkurugenzi wa zamani wa mashtaka nchini Afrika Kusini...
  4. Landei

    JamiiForums Tanzania Thuli Mandonsela atangazwa mshindi wa tuzo ya Forbes Africa Person of The Year (POY2016)

    JPM AANGUSHWA TUZO ZA FORBES (POY) 2016. By Malisa GJ, Rais John Pombe Magufuli ameangushwa katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo za Forbes Person of the Year 2016. Mshindi wa tuzo hizo aliyetangazwa usiku huu ni Bi.Thuli Madonsela, Mkurugenzi wa zamani wa mashtaka nchini Afrika Kusini...
  5. Landei

    JamiiForums Tanzania Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

    Hahaaaaaaah! Wasanii? Hivi vibaraka vya ccm watazungunza jamabo gani likasikika? Kwanza wamenipotezea mda wangu bure katika kuwaangalia wanavyojing'ata hata kujibu hoja zinazosumbua vichwa vya watu wenye akili zao juu ya uvunjaji wa katiba na sheria za nchi. Nilijua watatoa ufafanuzi juu ya...
  6. Landei

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila kesi Tundu Lissu anashinda?

    Nilisema Tundu Lissu sio size ya hawa majamaa wa utawala. Lissu ni zaidi ya viboko. Lissu habatishi sheria ameweka sheria kichwani na kuweza kuziimba kama wimbo wa Taifa. [emoji28][emoji28][emoji28], Magu ajiandae tu kisaikolojia juu ya hatua anazozichukua dhidi ya upinzani na Watanzania...
  7. Landei

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Lisu habahatishi taaluma yake, anatendea haki ipasavyoo. Pia haogopeshwi na chochote kilichopo mbele yake. Yupo makini kwelikweli
  8. Landei

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hatujapiga marufuku mikutano ya kisiasa ambayo iko kwa mujibu wa katiba za vyama

    What? Maswali juu ya jeshi la polisi ; 1. CHASO dodoma , Morogoro na Moshi mjini walifanyaje? 2. Kikao cha ACT wazalendo cha ndani cha kujadili bageti na kusababishia Zitto kupelekwa central ilikuaje? N. B; Ifike mahala polisi na watawala waache kuwapotesha wananchi juu ya watendayo kwa umma.
Back
Top Bottom