Recent content by Lamsheku

  1. Lamsheku

    Canola inaweza kuwa mbadala wa Alizeti

    Hecta moja inaweza kuzalisha tani ngapi kwa wastani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Lamsheku

    Je, kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti?

    Puliza round up /super round (glayphoset 400) inakausha na kuozesha mpaka mizizi inakua chengachenga wala hutahitaji kuchoma moto tena. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Lamsheku

    'Vetiver' nyasi zenye uwezo wa kuzuia mmomonyoko wa udongo

    Mkuu weka hata picha ya kazi zako basi tuone inavyokua ikitupendeza tukutafute Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Lamsheku

    Tuliowahi kukaa gerezani tupeane uzoefu wa mateso, msoto na vimbwanga

    Mkuu zoezi la ukaguzi linakuaje hiyo siku ya kwanza (kufungua kitabu) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Lamsheku

    Chilling images from South Africa

    Aiseee Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Lamsheku

    Hivi kwanini vigogo wengi wa serikali wanaosema elimu ya Tanzania ni bora hawasomeshi watoto wao shule za Serikali ??

    Miaka ya nyuma kidogo ulikua ukienda private school unaonekana kilaza siku hizi serikalini ndio wanaonekana vilaza. Nadhani kuna mahala serikali iliteleza katika kusimamia ubora wa shule zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Lamsheku

    Mwanaume ni Mwanaume tu........

    Baba yetu mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Lamsheku

    Jamii na sisi tunazijua hatari za mbegu na vyakula vya GMO au tunakimbilia kununua tu?

    Umesomeka mkuu. Who control food supply control population. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Lamsheku

    Jamii na sisi tunazijua hatari za mbegu na vyakula vya GMO au tunakimbilia kununua tu?

    Yes ndivyo ilivyo kwa GMO, sasa anti GMO ndio mtushushie hapa hayo madhara mkihusianisha na hizo mbegu na sio kama mleta mada alivyoongelea in General. Halafu kwa ninavyo fahahu hizi mbegu zinatumika zaidi kwenye developed countries, ambao mamlaka zao pia zipo vizuri sana katika kudhibiti...
  10. Lamsheku

    Kiganja alichonyea mtoto hakikatwi

    Umefanya jambo lililo jema. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Lamsheku

    Jamii na sisi tunazijua hatari za mbegu na vyakula vya GMO au tunakimbilia kununua tu?

    Hayo madhara mbona hujayaweka Ukihusisha na mbegu za GMO. Umeongea kiujumla sana, hebu fikiria pamoja na uwepo wake bado tatizo la njaa lipo hali ingekuaje zisinge kuwepo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Lamsheku

    Wanaotumia simu, kompyuta wapewa tahadhari

    Aache uwongo hakuna madhara yoyote yale kutumia simu au computer kwa muda mrefu. Ingekua yapo basi wengine yangeshatupata miaka mingi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Lamsheku

    Kwanini Liverpool hawakushangilia goli na Keita Hata Klopp anashanga

    Aisee kwahiyo jamaa aka walk alone. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Lamsheku

    Wadaiwa wa Tala tuna hali gani

    Kua na amani tu boss hawana uwezo huo wa kukufikia kwa maana ya resources za kuja kukusanya hilo deni ni kubwa sana. Wanachofanya wana ku threaten kisaikolojia tu. Na wewe naona umejaa kwenye mtego wao huo. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Lamsheku

    Masela wanakufa sana, sio kwa idadi hii kubwa ya wajane duuh!

    Aisee jana tumezika mmoja hapa mtaani yani kaanguka kama mpapai nae wamesema ni kifua. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom