Wadaiwa wa Tala tuna hali gani

Wadaiwa wa Tala tuna hali gani

Sumu Boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
206
Reaction score
218
Toka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao itaifishwe ili na mimi niwe salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua na amani tu boss hawana uwezo huo wa kukufikia kwa maana ya resources za kuja kukusanya hilo deni ni kubwa sana.

Wanachofanya wana ku threaten kisaikolojia tu. Na wewe naona umejaa kwenye mtego wao huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo imekula kwao
Screenshot_20190405-145749.jpeg

Sent by nokia tochi
 
Toka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao itaifishwe ili na mimi niwe salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia ukilipa mkopo Sasa hivi na ukataka kukopa tena app yao inazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka niliposikia jamaa wa Tala wameshikwa sina amani kabisa maana wakitoka wanata anza na mimi niliyeshindwa kulipa maana hali ni ngumu nimeshindwa kurejesha labda utokee muujiza server yao itaifishwe ili na mimi niwe salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naomba mungu washinde na shughuli zao ziendelee maana wamenisaidia Sana kwenye biashara. Zangu ,toka nimeskia hizi habari zenu nikajua hawakopeshi Tena,nikarudisha Deni wanalonidai Kisha nikakopa Tena, nafrahi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom