Sisi Watanzania hatuhitaji Ufafanuzi Bali tunahitaji Utatuzi WA Changamoto mbali mbali zinazotukabili ikiwemo ya Umeme,Maji, Sukari,nk
Ufafanuzi maana yake sababu or Chocho la kutokea hatuhitaji hayo tunahitaji Utendaji.Ufafanuzi umekuwa ukitolewa Kila Léo bila ufumbuzi wowote ule.
Ila Kuna Wazee wengine wanazingua sana,Kuna Mmoja ana watoto sita KAZI yake ni Mlinzi WA kwenye magodauni..kula yake ya shida yéyé na familia yake wakati mwingine anashindia na kulalia karanga za mia mbili sababu ya mshahara Mdogo.
Cha kushukuru amepata mwanga WA kusomesha japo kwa mbinde,Mbaya...
Mama Ubarikiwe sana,Mawaziri wote na viongozi wengine WA Serikali ingekuwa wanaRespond haraka namna hii kutatua matatizo ya wanaNchi hivi Mh Rais asingehitaji kufanya kampeni tena kwenye uchaguzi.
Uendelee na Moyo huu huu na Mungu akujaalie Ktk KAZI zako ziwe na mafanikio.
Mkuu hapo kwenye Retrenchment kama Boss Sababu zake za kukupunguza ni kuwa Uchumi umeyumba Ila kiuhalisia haiko hivyo Ila ni chuki zake tu binafsi (Personal Grudges) Sheria inasemaje kuhusu hili?
Maana anakupunguza then anaajiri mwingine,anapunguza mwingine then anaajiri tena mwingine and so and...
Amefanya KAZI zaidi ya miaka 15 Mkuu,Hiyo ya (Gross ×12) inaweza kuwa na nafuu kuliko Hiyo ya kugawanya kwa 26,Je Hiyo ya Gross ×12 ya mwaka gani?na Kuna tofauti gani kati ya Retrenchment na Redundancy,or kitu kimoja?
Hahahaha yéyé kama yéyé hajawahi Kuja Labda kama alitumia ID nyingine..Hiyo Heshma uliyonayo kwake na kwangu pia ni hivyo hivyo Siamini alichokiandika kunijibu hapo juu..ama kwakweli usimwamini MTU asilimia mia.
Wakuu habarini?Naomba niende kwenye Hoja Moja kwa Moja!
Nina ndugu yangu amefanya KAZI kwa Mjerumani Mmoja akiwa kama Fundi Pump (Diesel Engines)kwa zaidi ya miaka 15 hivi,Akiwa na mkataba WA kudumu kwenye Ajira yake Sasa Mtoto wa Boss hamtaki kazini akitaka kumuondoa kwa kigezo Cha kupunguza...
Kifo sio Mwisho wa Maisha,Bali ni Mwanzo wa Maisha Mapya!!
Kinachofanya tuogope Kifo ni aina ya Maisha tunayoishi sasa ambayo nafsi zetu zinatusuta kwa yale tuliyoyatenda.
Tukiwa na Uhakika wa Usalama huko tuendako hatuna sababu ya kukihofia kifo.Maana kinakuwa ni Mlango wa njia ya kheri...
Mkuu anzisha Group LA Whatssaap LA wasoma vitabu tujiunge,then weka Link hapa atakae kujiunga ajiunge.
Humo kutakuwa na Library ya Vitabu mbalimbali na vitawekwa kulingana na maudhui yake,yeyote atakae kwa muda wake anajipakulia anaendelea kujisomea.
Uzuri wa Group huna sababu ya kubeba kitabu...
Kesho Jumapili tarehe 28 May kwenye dimba la Mkapa inachezwa fainali ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika baina ya Young Africans hapa nyumbani dhidi ya USM Alger ya Algeria.
Mm kama Mtanzania ninaevutiwa na maendeleo ya soka la Nchi yangu na pia kama Shabiki lialia wa Wananchi,nina jukumu...
Safi sana akili nyingi hii,sema Sidhani kama Yanga wamejipanga kwa hilo or kuwaza namna hii.
Pili Usimba na Uyanga uliopo TFF unasababisha kusiwepo creativity kama hizi,mana WanaSimba wao kwa sasa wako busy kubeza mafanikio ya Yanga kwa kuliita kombe la looser ili hali wao walichoma hadi uwanja...
Togolani Mavula,January Makamba,Nape Nnaye,Zitto Kabwe,John Mnyika etc ni vijana hazina kwa taifa letu.
Wazee wawape urithi ulio bora waje kuwa na tija kwa taifa.Wasiwatumie kama tissue ili kutimiza malengo yao.
Dunia tunapita tu,kumpa mtu kitu kilicho bora ni sadaka yako hata pale usipokwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.