Kama unayawezaaa.....nenda efta mwanza wakupe mkataba na loan nunua howo mpya ......unaweka hiyo downpayment utapigiwa hesabu kila mwezi labda 5m rejesho .....fungal GPS au ukae kushoto kwenye tipper ya mchanga mpyaaa miaka 3 unamaliza inakuwa yako mwezi hukosi 15m.......nimekupa mwanga na pa...
Tafuta mwekezaji ujenge kiwanda fursa ziko waziii....ushauri wa bure .....serikali haiwezi kufanya kila kitu ila inawezesha sera sheria fursa kuwa wazi
Ukiona hawafanyi ujue hailipi kwa sasa.....fursa iko wazi hata leo rusha satellite yako uwe sasa uhakika nani ata subscribe kwa huduma zako....unamuuzia nani ? Una pipe line kurudisha pesa ?? ....ama la tuendelee depend kwa uwekezaji binafsi
Ndoto za mchana kwa nchi masikini....ambapo vipaumbele 200 vyyote hakuna pesa ya push ukiwa Rais wa nchi za Africa kipaumbele sio hizo....achia sekta binafsi zitafanya wewe uta regulate.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.