Recent content by Lalo Salamanca

  1. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Dereva wa lori auwawa na mlinzi wa puma petrol station Morogoro

    Duh!! Tumefikaje huku Kama Nchi?
  2. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

    The best Part ya hiyo Lawsuit ni kwamba Hajadai Fidia
  3. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Lila: Tutachunguza nguvu iliyotumika kudhibiti ghasia za Oktoba 29

    Kuchezea pesa za Walipa kodi
  4. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya halmashauri ya Wilaya ya Kwimba hatujapata fedha za kujikimu

    Tulieni bado tupo kwenye upembuzi yakinifu.
  5. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Kama shule zinarudisha watoto majumbani, kwanini serikali isiruhusu maandamano na kuyalinda? Shida iko wapi?

    Hawawezi Kukubali Kwa Sababu Hawapo Madarakani Kihalali, Wanajua Hakuna Aliewachagua.
  6. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Ngoma zimeanza usiku huu katika kanisa la walokole

    Nenda kwenye mkesha
  7. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Hahaa si watumie Mitutu yao Kujisaidia
  8. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji

    Hata Ufukuze Wizara Nzima haitasaidia, shida ni vipaumbele vya Serikali. Ni aibu mpaka leo hakuna maji wala umeme wa uhakika wakati hivi vitu ni very basic na kila mtu anatakiwa kuvipata kuanzia masikini wa mwisho mpaka Tajiri.
  9. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Vita ya Polisi na Raia imeanza Arusha. Askari ajeruhiwa vibaya kichwani kwa mawe, waamua kutumia risasi

    Hatuna Jeshi la Polisi, tuna Vibaka wenye Uniform wenye License za Kuua watu. Tuende nao hivohivo LOS PEPES style.
  10. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa twitter x umefungwa?

    Weka VPN, ni Mwaka na zaidi tunaishi hivo. Hata Page za Serikali zinatumia VPN.
  11. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

    Itakua ulileta udwanzi Kwenye Live yake akakupiga Nyundo halafu unakuja Kutolea Milio JF..🎺🎺🎺
  12. Lalo Salamanca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yawataka watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani Oktoba 30

    Bibi Nywinywi Kajificha
Back
Top Bottom